Exactly. Unajiuliza wameziweka zanini!Kama hawataki kupokea waziondoe tu maana kuziweka kisha hawapokei ni USHAMBA.
Hawa jamaa ni waongo haijapata kutokea. Nchi hii uongo unaanzia ofisi kuu hadi chini kwa mtendaji wa mtaaKama hawataki kupokea waziondoe tu maana kuziweka kisha hawapokei ni USHAMBA.
Kwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini?
Simu zinapokelewa Ikulu ya Marekani, hata taasisi kongwe na tajiri kuliko taasisi nyingine yoyote duniani, wenye makao yao makuu Vatican wanapokea simu.
Kuna kitu gani hasa kinachozuia simu za wananchi zisipokelewe Ikulu yetu? Ikulu ni ofisi ya umma, wahusika mlijue hilo.
Uwajibikaji ni sifuri. Vuta taswira ya wale askari, tena kwenye sare za kazi wakichungulia ile ndege Bukoba kwa mbali kama vile haiwahusu! Ni sawa na wafanyakazi hewa.Sio ikulu, ni karibia taasisi zote za umma hawana tabia ya kupokea simu ama kujibu email!
hahahahaha mkuu umenichekesha sanaKwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini?
Simu zinapokelewa Ikulu ya Marekani, hata taasisi kongwe na tajiri kuliko taasisi nyingine yoyote duniani, wenye makao yao makuu Vatican wanapokea simu.
Kuna kitu gani hasa kinachozuia simu za wananchi zisipokelewe Ikulu yetu? Ikulu ni ofisi ya umma, wahusika mlijue hilo.
Wanajua nini unataka hawezi pokea asilani.....Kwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini?
Simu zinapokelewa Ikulu ya Marekani, hata taasisi kongwe na tajiri kuliko taasisi nyingine yoyote duniani, wenye makao yao makuu Vatican wanapokea simu.
Kuna kitu gani hasa kinachozuia simu za wananchi zisipokelewe Ikulu yetu? Ikulu ni ofisi ya umma, wahusika mlijue hilo.
Mfalme kaka juu ya kiti we nani?Kwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini?
Simu zinapokelewa Ikulu ya Marekani, hata taasisi kongwe na tajiri kuliko taasisi nyingine yoyote duniani, wenye makao yao makuu Vatican wanapokea simu.
Kuna kitu gani hasa kinachozuia simu za wananchi zisipokelewe Ikulu yetu? Ikulu ni ofisi ya umma, wahusika mlijue hilo.
Monica Lewinsky alifanya mazoezi kwa vitendo Ikulu ya Marekani, uliwahi kulisikia hilo?hahahahaha mkuu umenichekesha sana
hivi ulishaona mwanafunzi akienda kufanya field/mazoezi kwa vitendo ikulu?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini?
Simu zinapokelewa Ikulu ya Marekani, hata taasisi kongwe na tajiri kuliko taasisi nyingine yoyote duniani, wenye makao yao makuu Vatican wanapokea simu.
Kuna kitu gani hasa kinachozuia simu za wananchi zisipokelewe Ikulu yetu? Ikulu ni ofisi ya umma, wahusika mlijue hilo.
Watu wa baba mmojaMheshimiwa Mwiguli akanisha alosema Mheshimiwa Mipango, nawaza alomwandalia Mpago speech alielewa taarifaa za uongoo zile?
Sahihi 100%Sio ikulu tu, ni karibia taasisi zote za umma hawana tabia ya kupokea simu ama kujibu email!
Nyie watu nyie ha ha ha...Monica Lewinsky alifanya mazoezi kwa vitendo Ikulu ya Marekani, uliwahi kulisikia hilo?
Post #1 nimeandika kuwa Ikulu ya Marekani wanapokea simu, kwanini hawa wakwetu hawawezi kupokea? Au Ikulu yetu ina unyeti zaidi ya White house!
Kuna watu wanaamini kufanyakazi Ikulu ni kama wapo Mbinguni. Hivyo wanaamini katika MAAMUZI YAO.Kwenye tovuti ya Ikulu zimewekwa namba za simu unazoweza kutumia kuwapigia simu. Ukipiga kupitia namba hizo simu inaita pasipo kupokelewa, tatizo ni nini?