Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kakaNadhani hawataki usumbufu
barua itafika tatizo ni wale wachujaji wa pale getiniTanzania vitu vingi ni geresha sio namba tu hata barua ukiandika haitofika.
Kuna mdau kashauri nifunge safari hadi getini Ikulu.Kuna watu wanaamini kufanyakazi Ikulu ni kama wapo Mbinguni. Hivyo wanaamini katika MAAMUZI YAO.
PSU wanapaswa kufahamu kuwa Ikulu ni mali ya wananchi. Wamsaidie Rais kutimiza wajibu wake na wasimfanye Rais kuwa unreachable...
Mabadiliko ni tiba ya wakati
Tuma hiyo no mkuu tuwe nayo wengi , maana mtaani kuna URASIMU na RUSHWA nyingiKuna mdau kashauri nifunge safari hadi getini Ikulu.
Dunia hii ya kidijitali nisafiri toka Kamachumu hadi getini Chamwino kwa tatizo linalomalizwa kwa mtu kuinua tu mkono kupokea simu!
Kwanini huyo anayekaidi kupokea simu za wananchi asiwajibishwe na wakubwa wake kazini?
Nafahamu wanasoma haya tunayoandika, wabadilike.
Wanapewa maelekezo na wazee waliosoma Cuba na Urusi.Kuna mdau kashauri nifunge safari hadi getini Ikulu.
Dunia hii ya kidijitali nisafiri toka Kamachumu hadi getini Chamwino kwa tatizo linalomalizwa kwa mtu kuinua tu mkono kupokea simu!
Kwanini huyo anayekaidi kupokea simu za wananchi asiwajibishwe na wakubwa wake kazini?
Nafahamu wanasoma haya tunayoandika, wabadilike.
Fafanua kidogo, hiyo dm na ig sijaielewa.we kama unatatizo la msingi sana na unahitaji majibu ya haraka mcheki huyo maza kwenye dm ya ig yake anaweza kujibu japo sio kila mara ila uwezekano wa kupata majibu au suluhu ya jambo lako ni kubwa
Ila MCT wanapokea sikuhizi... Ma Chief wako makini sasaSioni umuhimu wa taasisi za umma kuwa na mawasiliano
Habari za asubuhi wakuu, Nimekutana na hichi kituko mara nyingi na nimejaribu kukivumilia kimenishinda inabidi nitoe duku duku langu. Taasisi za umma ni kwaajili ya wananchi, na taasisi hizi zimekuwa na namba ambazo zinawekwa kupitia wavuti zao, au katika majarida mbali mbali lengo likiwa...www.jamiiforums.com
Njoo PM nikupeMnipee namba huenda wakapokea
Monica Lewinsky alifanya mazoezi kwa vitendo Ikulu ya Marekani, uliwahi kulisikia hilo?
Post #1 nimeandika kuwa Ikulu ya Marekani wanapokea simu, kwanini hawa wakwetu hawawezi kupokea? Au Ikulu yetu ina unyeti zaidi ya White house!
Oooh!Hawataki kitokee kitu kinachofanana au kitu chochote kibaya ndani ya nyumba hiyo jinsi ilivyotokea kwa Monica kule White house. 🤣
Kuna mdau kashauri nifunge safari hadi getini Ikulu.