ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Niwekeeni hiyo namba hapa nijaribu kupiga. Otherwise mtakuwa mnadaganya. Serekali yetu ni sikivu acheni maneno yenu ya blah blah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka ujenzi wa Ikulu Chamwino utakapokamilika mtaruhusiwa. Ndivyo tulivyoambiwa na Magufuli siku ya kuweka jiwe la msingi, labda waliopo waamue kubadili.Mimi nilikuwa nataka turuhusiwe kwenda kufanya utalii wa ndani kama wafanyavyo pale White House
KWAHIYO HUO NDIO UTETEZI WAKO WA KUHALALISHA KUTOPOKEA SIMU?Watanzania tupo milioni 60+
Chukulia wenye simu na shida kama yako wapo milioni 3 tuu, mheshimiwa ataweza kuwasikiliza wote hata akigawa muda kwa mwaka mzima HAIWEZEKANI
Andika barua pepe, au barua ya kawaida hatakama hatajibu ujue ujumbe utamfikia na swala lako litatatuliwa kwa haraka KULIKO KUKATA SIMU NA KUPIGA TENA NA TENA