Kwanini iliyotolewa ni Timu ya Taifa ya Mali ila Walionuna na Wanaoumia ni Mashabiki wa Yanga SC?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Klabu yoyote Bora kokote pale duniani ni ile ambayo pia hata Mchezaji wake Mmoja anayechezea Timu ya Taifa anaipeleka hiyo Timu yake katika hatua muhimu za Mashindano makubwa yanayotambulika na yenye Heshima kama ya AFCON kuanzia hatua za Nusu Fainali.

Hongereni sana Simba Sports Club na hakika mnastahili Sifa kwa kuwa na Mchezaji ( Henock Inonga ) ambaye ameisaidia Timu yake ya Taifa kufika hatua ya Semi Final katika AFCON huko nchini Ivorry Coast.

Haupendi UTANI achana na huu Uzi!
 
Nimeshangaa sana, mali walipopata goli mijamaa iliyokuwa imevaa madera yaliyoandikwa GSM ilinyanyuka na kushangilia kiutopolo.

Nikachunguza nikajua wako mali kwa ajili ya kipa wao.

Hizi akili manara alishatutahadharisha nazo.

Its like mashabiki wa Man U wawe mashabiki wa Cameroon kwa sababu ya kipa wao Onana
 
na kwanini ung'ang'ane na Yanga AFCON?
kwako studio🐒
 
Ulishaambiwa ukiwa Mshabiki wa Ngaya SC basi Wewe huna Akili sasa hapo huelewi nini Mkuu?
 
Kumbe na wewe uliwaona huko?
 
Hata Sadio Kanuti amenuna je na yeye ni Yanga? Pia Mayele amefurahi DRC kuingia nusu lakini Mayele ni shabiki mkubw wa Yanga. Acheni ushamba
 
ni kweli lakini,hii sio fact pekee ambayo,inaamua kama hiyo timu ni bora au laa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama ilivyo kwa Simba kufurahia mafanikio ya DRC. Sio kwamba wanaipenda DRC bali fahari yao ni Inonga. Wazungu wanasema" Don't argue the obvious " ikiwa na maana kwamba usihoji kitu ambao jibu lake linafahamika. Mfano uhoji mtu asipokula chakula kutatokea nini au mtu akinywa Pombe itakuaje au mtu akishika moto itakuaje.

Bwana GENTAMYCINE umekuwa ukipost vitu visivyohitaji critical thinking
 
Msafala wa mamba,kenge hali kosekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…