Kwanini iliyotolewa ni Timu ya Taifa ya Mali ila Walionuna na Wanaoumia ni Mashabiki wa Yanga SC?

ila ilishangaza zaidi mijamaa ya papa,makolo fc mali walipofungwa goli la pili ilishangilia utafikiri kafunga sammata au msuva...hata timu yao hawakuwahi kuishangilia vile
 
Nani kakwambia tumenuna? ANGALIZO..... kwa wewe KISOLOKWINYO (muwashwajiwashwaji) comment hii haikuhusu.
 
ila ilishangaza zaidi mijamaa ya papa,makolo fc mali walipofungwa goli la pili ilishangilia utafikiri kafunga sammata au msuva...hata timu yao hawakuwahi kuishangilia vile
Nakwambia toka Afcon hii ianze hakuna mechi nilifurahi kama hiyo ya Mali dhidi ya Ivory Coast haswa hilo goli la pili ilikuwa ni furaha si mchezo inafuatia mechi ya 16 bora Congo DR Vs Egypt
 
Lengo lako huwa ni kujaza server au make una post nyingi ila zimejaa uharo mtupu
 

Attachments

  • 35420F50-D0E0-466D-970C-18AF9C4FE69C.jpeg
    176 KB · Views: 2
  • FFF72E8F-2E91-49C9-BE32-A505BDC8D180.jpeg
    176 KB · Views: 1
  • 9D723ED2-A44F-414E-A8E2-AEDF2199051B.jpeg
    176 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…