Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
- Thread starter
- #41
Hahahaha, usipompa unyumba Maana yake umemlipiza, principle ya kusamehe inaanza na aliyekosewa, Mungu mwenyewe anasema anafuta makosa yetu Kwa ajili yake mwenyewe, Kuna wengine ni jeuri unaweza sema sikupi unyumba akatafuta sehemu nyingine akapata, hoja sio unyumba hoja hapa ni maumivu ya kutendewa isivyo halali yaani kuumizwa atayebaki anaumi hapa ni yule aliyekosewa, sasa ukiachilia na unyumba ukampa atajirudi na hata asipojirudi wewe unakuwa umeponywa moyo na nafsi yakoSs unatoaje unyumba na mtu kakukera??
Yani ukosee afu udai unyumba kimabavu😅then uje kusema umekosewa wkt we ndo ulimtoa mood mwenzako?.
Rekebisha kwanzaa🏃🏾♀️🏃🏾♀️