Kwanini inakuwa ngumu kusamehe katika mahusiano?

Kwanini inakuwa ngumu kusamehe katika mahusiano?

Kwanini ukumbuke yaliyopita?? kumbuka miaka inaenda na maisha yanabadilika, jitahidi kuto kumbuka, najua yapo mengine yanaumiza lakini kuyasahau ni kuimarisha afya yako
Kusahau yaliyopita inachukua muda. Hiyo si one day work. Lakini pia itachukua muda mfupi if mwenzako ataonyesha kutaka kubadilika na kuacha yaliyo kuumiza.

Ila ukiwa mbishi, ndio hapo mwenzio atashindwa kusahau maana anakuona kibasa umemkosea lakini bado una kiburi
 
Revenge kubw kwa kwl ni chaos tu
But vidogodogo hv havina madhara kbs..
Sanasana mtaombana msamaha vizuri tu badae

Mfano unamuuliza mtu kitu flani kiko wapi anakujibu usiniwangishe kichwa asbh hii
Unawaza heee yamekua hayo
Unauchunaa na wewe
anajisahau anaanza kukuongeleshea sijui kitu gani..hapo ushanuna na wewe unakua bubuu anajiongelesha mwenyewee hadi akili imkae sawa
Akiona mnuno umezidi anaanza kuleta comedy ili tu ucheke

Mi mtu ukinikera revenge lazimaa ndo roho yangu isuuzike..
Msamaha tutataja muda wa maombi huku ni revenge tu
Hahaha hata katika hayo unayaona madogo, unajua shetani anapomuingia Mtu hamuingiii vuuup, anaanza taratibu kubadilisha hayo unayosema madogo madogo mwisho was siku unajikuta umekuwa katili mkubwa, usimpe nafasi
 
Kusahau yaliyopita inachukua muda. Hiyo si one day work. Lakini pia itachukua muda mfupi if mwenzako ataonyesha kutaka kubadilika na kuacha yaliyo kuumiza.

Ila ukiwa mbishi, ndio hapo mwenzio atashindwa kusahau maana anakuona kibasa umemkosea lakini bado una kiburi
Principle ya kusamehe inaanza na wewe uliyekosewa pale utakapotaka kuomba msamaha Kwa MUNGU wako inatakiwa kwanza uwasamehe waliokukosea regardless wamekuja kuomba msamaha au hapana lazima ujifunze kuachilia
 
Tiba ya hayo yote mkuu unatakiwa uyaseme kwa mwenza wako,usijifanye umesamehe wakati moyoni unaumia.

Kwa sababu kuna watu wa mbali kukukosea hawa unaweza kuwasamehe hata bila wao kuomba msamaha.

Ila sasa hawa wtu wa karibu ndio ishu kusamehe maana kila muda upo nao.

Kuna kanuni yangu moja inaniambia "kuwa mbali na aliyekukera kunapunguza hasira"

Sasa mtu mumekerana kama mke na mupo karibu hasira zinazidi sana na ndio maana ni rahisi sana watu wa karibu kuvunja ukaribu wao kuliko watu wa mbali kuvunja umbali wao.
Kama aliyembali unaweza kumsamehe hata asipo sema, Uwe na uhakika hata was karibu inawezekana ukiifundisha akili yako kufanya hivyo
 
Kusahau siwez Nas Jr

Umeniwekea kinyongo sana we mwanamke.... Yale yalishapita.... zile hazikuwa akili zangu...nilichezewa tu Mama angu...

Nimejifunza sasa na siwezi kurudia tena,,, siku tukipasha kiporo nitakueleza zaidi
 
Umeniwekea kinyongo sana we mwanamke.... Yale yalishapita.... zile hazikuwa akili zangu...nilichezewa tu Mama angu...

Nimejifunza sasa na siwezi kurudia tena,,, siku tukipasha kiporo nitakueleza zaidi
Hapa lazima akusamehe tu maana umeongea Kwa hisia hahaha na wao si unajua wanajali hisia zaidi
 
Umeniwekea kinyongo sana we mwanamke.... Yale yalishapita.... zile hazikuwa akili zangu...nilichezewa tu Mama angu...

Nimejifunza sasa na siwezi kurudia tena,,, siku tukipasha kiporo nitakueleza zaidi
Kupasha kiporo tena?
 
Back
Top Bottom