Hahahaha, usipompa unyumba Maana yake umemlipiza, principle ya kusamehe inaanza na aliyekosewa, Mungu mwenyewe anasema anafuta makosa yetu Kwa ajili yake mwenyewe, Kuna wengine ni jeuri unaweza sema sikupi unyumba akatafuta sehemu nyingine akapata, hoja sio unyumba hoja hapa ni maumivu ya kutendewa isivyo halali yaani kuumizwa atayebaki anaumi hapa ni yule aliyekosewa, sasa ukiachilia na unyumba ukampa atajirudi na hata asipojirudi wewe unakuwa umeponywa moyo na nafsi yakoSs unatoaje unyumba na mtu kakukera??
Yani ukosee afu udai unyumba kimabavu😅then uje kusema umekosewa wkt we ndo ulimtoa mood mwenzako?.
Rekebisha kwanzaa🏃🏾♀️🏃🏾♀️
Unamsamehe pia, kwasababu unajuaje kurudia rudia mara nyingi kumedhamiria kukuharibia wewe? Hivi mkuu unajua kuwa Ili ufanikiwe unahitaji amani ya moyo?? Huwezi ukapata maendeleo kama una stress na uchungu ndani yako, na shetani Ili akukwamishe anaanza kuvuruga amani yako kwanza so unaweza Mtu anakukwaza mara Kwa mara kumbe Yuko kwenye mission ya kukuangusha ama Kwa yeye kujua ama kutojua, dawa ni kuachilia msamahaUmsamehe mtu anayakukosea Kwa makusudi?
Ambaye umekuwa ukimuonya juu ya kosa hilo hilo na akaendelea kukukosea kwa mara nyingi ?
Ukimsamehe na ukashindwa kumpa nafasi moyoni mwako hapoo Bado haujasamehe mkuu, kumbuka upendo hauhesabu mabayaKumsamehe mtu ni jambo moja lakini kuridhia kumpa nafasi kwa mara nyingine moyoni ni swala lingine.
Na hapo inahitajika neema ya tofauti.
Weee revenge ndio inaponya moyoHahahaha, usipompa unyumba Maana yake umemlipiza, principle ya kusamehe inaanza na aliyekosewa, Mungu mwenyewe anasema anafuta makosa yetu Kwa ajili yake mwenyewe, Kuna wengine ni jeuri unaweza sema sikupi unyumba akatafuta sehemu nyingine akapata, hoja sio unyumba hoja hapa ni maumivu ya kutendewa isivyo halali yaani kuumizwa atayebaki anaumi hapa ni yule aliyekosewa, sasa ukiachilia na unyumba ukampa atajirudi na hata asipojirudi wewe unakuwa umeponywa moyo na nafsi yako
Ukimsamehe na ukashindwa kumpa nafasi moyoni mwako hapoo Bado haujasamehe mkuu, kumbuka upendo hauhesabu mabaya
Weee revenge ndio inaponya moyo
Msamaha sio mwepesi unless mtu kaomba msamaha kwa kumaanisha
Mkuu revenge haijawah ponya moyo fuatilia utagundua revenge ni mbaya kuliko unavyofikiria maana revenge huambatana na hasira unaweza jikuta unafanya jambo baya ukaumiza wengi zaidi ya uliyemkusudia fuatilia utagundua hiloWeee revenge ndio inaponya moyo
Msamaha sio mwepesi unless mtu kaomba msamaha kwa kumaanisha
Amesema mpende Bwana MUNGU wako Kwa moyo, akili, nguvu na Roho yako yote, Mungu anahitaji vyote, lakini suala la msaha linahusisha moyo mkuu, ukitaka kuponya moyo wako basi msamaha ni dawaImeandikwa;
Mpende Bwana Mungu wako kwa AKILI yako yote.
Mungu anapenda tutumie akili katika kumpenda na siyo ujinga na upumbavu!
Kuna namna mkosa anapaswa kuonesha kubadilika kwa vitendo kimwenendo ili kuweza kusamehewa.
Kusamehe hapo inamaanisha kutokuwa na kinyongo na huyo mume wake, suala la kuendelea kuishi naye hilo utashi wake na kama atakubali kuishi naye maana yake amekubali kulea na huyo Mtoto, ama la akiona hawezi kuishi naye anamwambia wazi tu kuwa ninekusamehe ila siwezi kuendelea kuishi na wewe Kwa ustawi wa afya yanguMfano mwingine ni huu ;
Kuna mwanamke amekuwa akimstukia mumewe na mchepuko fulani kwa miaka kadhaa ,
Mwanaume akistukiwa anaomba msamaha Kwa mkewe mke anamsaheme maisha yanaendelea,
Sasa baada ya miaka labda 10 ya ndoa mke anakuja kujua mumewe amezaa na Yule mchepuko,
Mume anakubali kuwa ni kweli.
Na mchepuko ni jobless na mjini anawekwa na huyo mume!
Je mke anaweza kumsamehe mume wa aina hiyo ?
Na akimsamehe maana yake akubali kuishi maisha ya uke wenza ?
Yani aji-risky kuishi maisha ya ukewenza wakati mchepuko ni mchawi na mshirikina ?
Revenge ndogo ndogo ni tiba i tell uMkuu revenge haijawah ponya moyo fuatilia utagundua revenge ni mbaya kuliko unavyofikiria maana revenge huambatana na hasira unaweza jikuta unafanya jambo baya ukaumiza wengi zaidi ya uliyemkusudia fuatilia utagundua hilo
Msamaha haulazimishwi kwasababu unahusu Maisha ya Mtu, hivyoo Mtu anatakiwa aeleweshwe kwanini anahitaji kuachilia?? Kwanini asamehe??.. Kuna Bwana mmoja ameweka malalamiko ya Kwamba Mke wake anataka kula nyama nyingi kuliko yeye, hapo Mke anatakiwa kumsamehe mumewe kwakuwa sio kosa lake na akishasamehe Ili Maisha yaendelee anatakiwa kuchukuliana na Hali ilivyo bila kuwa na kinyongo ataishi Kwa amaniKwa kifupi humu Duniani tunaendelea kujifunza kila kila leo.
Kuna watu wana maishu mazito @ Mpendwa!
Ukipata neema wakafunguka kukuhadithia utachoka mwenyewe!
Na ukilazimisha msamaha unakuwa fake na Pengine mwingine anatafuta nafasi ya kufanya kisasi cha mwili!
Hahahaha, mkuu tutaendelea kesho nitakueleza kwanini revenge haijawah kufanya kazi, na Nini matokeo yake Kwa mhusika naomba nikuache ulale, nikutakie usiku mwemaRevenge ndogo ndogo ni tiba i tell u
Ukiwa mwepesi kusamehe people walk on u wanajua utasamehe tu
Haiwezekani ukosewe na usinune
Revenge kubw kwa kwl ni chaos tuHahahaha, mkuu tutaendelea kesho nitakueleza kwanini revenge haijawah kufanya kazi, na Nini matokeo yake Kwa mhusika naomba nikuache ulale, nikutakie usiku mwema
Thank youMfano mwingine ni huu ;
Kuna mwanamke amekuwa akimstukia mumewe na mchepuko fulani kwa miaka kadhaa ,
Mwanaume akistukiwa anaomba msamaha Kwa mkewe mke anamsaheme maisha yanaendelea,
Sasa baada ya miaka labda 10 ya ndoa mke anakuja kujua mumewe amezaa na Yule mchepuko,
Mume anakubali kuwa ni kweli.
Na mchepuko ni jobless na mjini anawekwa na huyo mume!
Je mke anaweza kumsamehe mume wa aina hiyo ?
Na akimsamehe maana yake akubali kuishi maisha ya uke wenza ?
Yani aji-risky kuishi maisha ya ukewenza wakati mchepuko ni mchawi na mshirikina ?
Tiba ya hayo yote mkuu unatakiwa uyaseme kwa mwenza wako,usijifanye umesamehe wakati moyoni unaumia.Kwa kifupi humu Duniani tunaendelea kujifunza kila kila leo.
Kuna watu wana maishu mazito @ Mpendwa!
Ukipata neema wakafunguka kukuhadithia utachoka mwenyewe!
Na ukilazimisha msamaha unakuwa fake na Pengine mwingine anatafuta nafasi ya kufanya kisasi cha mwili!