Kwanini inakuwa ngumu kusamehe katika mahusiano?

Kwanini ukumbuke yaliyopita?? kumbuka miaka inaenda na maisha yanabadilika, jitahidi kuto kumbuka, najua yapo mengine yanaumiza lakini kuyasahau ni kuimarisha afya yako
Kusahau yaliyopita inachukua muda. Hiyo si one day work. Lakini pia itachukua muda mfupi if mwenzako ataonyesha kutaka kubadilika na kuacha yaliyo kuumiza.

Ila ukiwa mbishi, ndio hapo mwenzio atashindwa kusahau maana anakuona kibasa umemkosea lakini bado una kiburi
 
Hahaha hata katika hayo unayaona madogo, unajua shetani anapomuingia Mtu hamuingiii vuuup, anaanza taratibu kubadilisha hayo unayosema madogo madogo mwisho was siku unajikuta umekuwa katili mkubwa, usimpe nafasi
 
Principle ya kusamehe inaanza na wewe uliyekosewa pale utakapotaka kuomba msamaha Kwa MUNGU wako inatakiwa kwanza uwasamehe waliokukosea regardless wamekuja kuomba msamaha au hapana lazima ujifunze kuachilia
 
Kama aliyembali unaweza kumsamehe hata asipo sema, Uwe na uhakika hata was karibu inawezekana ukiifundisha akili yako kufanya hivyo
 
Kusahau siwez Nas Jr

Umeniwekea kinyongo sana we mwanamke.... Yale yalishapita.... zile hazikuwa akili zangu...nilichezewa tu Mama angu...

Nimejifunza sasa na siwezi kurudia tena,,, siku tukipasha kiporo nitakueleza zaidi
 
Umeniwekea kinyongo sana we mwanamke.... Yale yalishapita.... zile hazikuwa akili zangu...nilichezewa tu Mama angu...

Nimejifunza sasa na siwezi kurudia tena,,, siku tukipasha kiporo nitakueleza zaidi
Hapa lazima akusamehe tu maana umeongea Kwa hisia hahaha na wao si unajua wanajali hisia zaidi
 
Umeniwekea kinyongo sana we mwanamke.... Yale yalishapita.... zile hazikuwa akili zangu...nilichezewa tu Mama angu...

Nimejifunza sasa na siwezi kurudia tena,,, siku tukipasha kiporo nitakueleza zaidi
Kupasha kiporo tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…