mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
hatari sana.Jipitishe pitishe uko wilayani, wakuu wa mashule, wakufunzi n.k unaweza kubahatisha 😀😀, ila uhuru ni muhimu zaidi kuliko kazi; sasa hivi unaweza kubishana na boss wako, ila kwingine huna huo ubavu ni kutumika as a tool