Kwanini inashauriwa duniani kote Watu wa Usalama ( Intelligence ) lazima watokee katika Familia ambazo zina Historia ya kuweko huko?

Jipitishe pitishe uko wilayani, wakuu wa mashule, wakufunzi n.k unaweza kubahatisha 😀😀, ila uhuru ni muhimu zaidi kuliko kazi; sasa hivi unaweza kubishana na boss wako, ila kwingine huna huo ubavu ni kutumika as a tool​
hatari sana.
 
Nimeshangaa na Kusikitika Dr Matola PhD utaratibu huu wa Kimfumo na ambao ndiyo umekuwa ukifanyika na Mataifa makubwa hasa kwa Watu wake wa Intelligence ameshindwa Kulijua.

Mkuu ulichokielezea ni sahihi kwa 95%
Mfano shirika la kijasusi la Israel la MOSSAD MOJA kati ya shirika la kuaminiwa ZAIDI duniani hili,tunatarajia wenye nasaba za kiisrael wanaweza kua maafisa usalama wazuri ZAIDI kuliko HATA wale AMBAO hawana historian ya Wana ukoo wenye kufanya KAZI hiyo!!!
 
Ni kama security clearance kwao, ni rahisi hata wewe kukubali mtoto wa mchungaji aongoze sala kuliko jirani yako aongoze, utasikia hawa wapo jikoni kabisa.

Tofauti yetu sisi tunapachika watu wasio sahihi, anaajiriwa mtu ili asife njaa mtaani...hata kama hakidhi vigezo tunamsukumizia huko huko bila kufikiria kuwa tunaharibu taifa na kuharibu maisha binafsi ya mhusika.

Kwa upana zaid kada zote za uongozi hata huko duniani Kuna kurithishana Fulani hivi, angalia baba au babu au bibi na ndugu wengine wa viongozi wengi ulaya na marekan hata Asia ndo utajua, lazima uwe na historia inayofahamika vizuri na mfumo, mifumo mingi hutaka watu wenye loyality ni rahisi hili Kwa mtu unayefahamiana naye, tofauti wenzetu huweka watu sahihi, mtu anakuwa hafai kama hana sifa hata kama ndugu yako.
 
NCHI ya ajabu sana sehemu za Duniani hii sekta ni mhimu ila kwetu Haina msaada ni sehemu ya machawa wa chama tawala
 
Sahihi kabisa
 
Kama wanakidhi vigezo wapewe nafasi. Charles Kitwanga alikuwa mfanyakazi mwandamizi BOT na bintiye kwa sasa ni afisa mkubwa BOT ila yule binti alistahili kwa sababu kitaaluma form four One ya 7 na form six PCM one ya 3. Chuo pia kakichafua haswa. Mtu kama huyu anazuiwaje kuingia BOT?
 
Leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu ili Nielimike zaidi nikiamini kuwa hapa JamiiForums kuna Wabobezi na Wazoefu wa Fani hii inayoitwa ya Wenye Nchi.
acha uongo ww hivi mwanzoni si walikuwepo adam na eva peke yao sasa kama ndo ivo wanausalama walitoka kwenye historia ipi ebu tafakar hapo anza kurud nyuma toka kizazi hiki utaona hoja yako haina logic.....hata kama ukiwa hauamini kama MUNGU yupo unaamin ktk theory nyingne ya evolution utaona ni uongo familia zitarud na kuungana kwa mtu 1
 
Sidhani kama ni LAZIMA uwe na vinasaba vya maafisa ili kuajiriwa


Sijui Kama ni coincides, nimeangalia kama movies 4 hivi zina vitu kama hivyo
Na series kadhaa pia

Kuna documentary nili wahi kuiona M16 walikua wana recruit kuanzia shule za secondary wanakwenda nao hadi university
Hako wanachagua wale wenye vipaji na akili za hali ya juu
 
Ungekua soldier sasa ivi ungekua unatembelea makalio na range
 
Hivi sakata la Lugumi liliishia wapi?
 
Leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu ili Nielimike zaidi nikiamini kuwa hapa JamiiForums kuna Wabobezi na Wazoefu wa Fani hii inayoitwa ya Wenye Nchi.
"WORKING FOR KILLERS IS A SURE WAY OF BOOKING A PLACE IN HELL"
 
Wonderful. Najuta kutokuwa na Ndugu yoyote wa Familia huko kwani huenda angekuwepo nami ningekuwa huko.

Hongera zao Walioko huko kupitia Ndugu zao Waliotangulia kuwepo huko.
Ni vyema ufurahie hapo ulipo kuliko huko unakokutamani.

FYI:- Hakuna la maana wanalofanya huko zaidi ya Umalaya na Pombe Kwa kwenda mbele.
 
Kadiri unavyokua na ndugu wa karibu au wazazi waliowahi kuhuduma katika idara nyeti serikalini inakuongezea credit (Security clearance) katika mchujo, Ila sio kigezo pekee japo kina nafasi kubwa
Kuna vijana wengi wa wenyekiti wa wilaya wako huko, unasemaje hapo?

Yule msukuma aliwainguza wanajeshi wengi huko? Moemba kawatoa, unalizungumzua je hili?
 
Awamu ya Yule mhuni mambo yalibadilika
 
Mkuu unamzungumzia yule Jamaa ambaye alikuwa mwembamba lakini sasa hivi ni mnene?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…