India wanazaliana sana kuliko China kwa sasa. Mwaka 1987 China ndo ilikuwa na watu wengi kuliko China but kwa sasa India ndiyo nchi yenye watu wengi zaidi duniani. Hivyo, Per Capita lazima ishike kama uzalishaji hauta outpass matumiziMwaka 1987 India ilikuwa na ukuaji mkubwa kiuchumi kuliko China.
In 1987, China's GDP was $272.97 billion, while India's GDP was $279.03 billion:
China GDP
$272.97 billion
India GDP
$279.03 billion
Lakini 2024 China inakuaji mkubwa wa kiuchumi kuliko India.
China GDP
$18.2 T
India GDP
$3.8 T
In 1987, China's GDP per capita was $252, while India's was $342
China GDP per capita
$252
India GDP per capita
$342
Mwaka 2024 GDP per capita
India GDP per capita
2,698
China GDP per capita
12,970
Nini kiliwakuta India mpaka kupitwa mbali hivi na China ?
Ila China na India ni nchi zinazokua kiuchumi kwa kasi mno
Ila China na India ni nchi zinazokua kiuchumi kwa kasi mno
SawaGDP lazima ihusishe population, China walidhibiti population yao huku wakijitahidi kuongeza uzalishaji wa bidhaa zao na kutafuta masoko mengi hasa Afrika ndicho kipindi ambacho waliwapiku India kwa uzalishaji na uuzaji wa bidhaa nje ya nchi.
Xi Jinping elezea hiliKi vipi ?
Sawa sawaNafikiri hata jitihada za China kuwekeza zaidi kwenye Teknojia imechangia, Wanauza sana product kwenye soko la dunia.
China anachukua nafasi 129 kati ya 500 kwenye soko la teknolojia duniani wakati India anachukua nafasi 7 ya 500 tu.
Pia nchini China mitambo na mashime nyingi zinazoundwa zimechangia urahisishwaji wa shughuli nyingi zinazoingiza kipato hata kwa raia mmoja mmoja.
Mfano shughuli za kiufundi, ujenzi, kilimo n.k, ni rahisi sana kufanyika kwa kila raia wa China tofauti na India.
Japo India naye anakua kwa kasi sana ila mfumo wake wa kiutawala unampunguzia speed ya kumkuta China.
India naye anaelekea alipo China na marekani
SawaXi Jinping elezea hili
Sawa sawa nimekuelewaKasi ya ukuaji wa uchuni wa India ukilinganisha na China ni slower sana. Tuangazie tu miaka 10 iliyopita
Mwaka 2014
China GDP: $10.48 trillion
India GDP: $2.04 trillion
Mwaka 2024
China GDP: 18.27 trilllion
India GDP: 3.89 trillion
Ndani ya miaka 10 China imeongeza India 4 kiuchumi
India is not only years behind China but also has much slower growth