Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Hadi mwaka 2000 China wasn't a member of World trade organization and hence hawakua na upana mkubwa wa wateja; wateja wao wengi ilikua ni population yao wenyewe plus nchi rafiki kama Tanzania. Mwaka 2000 ndio wakaingia rasmi WTO, Ben Mkapa alikua miongoni mwa waliosaidia sana hili, baada ya hapo bidhaa za China zilatapakaa everywhere in the world including European countries, nchi kama Spain viwanda vyake vya nguo vilitetereka kwasababu ya nguo from China, electronics devices as well zilisumbua hadi mataifa ya nje; kwa Africa ni kama wameua kabisa soko la Pikipiki za Honda, Suzuki from Japan, kila mtu anazungumzia China's made; simu zao zikaja kuua kabisa soko la radio, calculator, calender, diary nk. In short iko hivo plus mengine yaliotajwa na wenzangu huko ju