Kwanini India inaikubali sana Israel?

Kwanini India inaikubali sana Israel?

MUMU THE DON

Senior Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
148
Reaction score
183
Katika muda huu wa Israel kupata maadui wengi duniani maana amefanya mauaji Gaza lakini haijatosha kuvunja mahusiano mema kati ya nchi hizo mbili India na israel

Katika social media post za Israel zimekuwa zikipata upingamizi kwa mataifa mengi ila India wao wameomesha bado mahaba na Jews katika hii conflict ya Iran wengi Dunian walesupport Iran na kuitaka Iran kuchakaza Israel kwa kile kinachoonekana ni chuki iliokithiri kwa wayahudi. Ila kwa hawa Wahindi wamekuja tofaut kabisa wakionesha kupenda na kuitaka ipiganie promised land yake kikubwa wanaonesha Imani kubwa nao tofauti na sisi weusi wa kwa Mtogore tunajikuta wa Persian from Iran kindaki ndaki😂😂😂😂
 
Kwahio wewe unajikuta muisrael wa kwa mama kibonge
 
Ni rahisi sana kwa Mhindi kuishi vizuri na kwa amani na mkristo au myahudi kuliko muislam.
 
Back
Top Bottom