Kwanini injili ya Barnabas iliteketezwa?

Yuda Iskariot aliwezaje andika kitabu wakati alikufa mapema zaidi baada ya Yesu kusulubiwa!?..
Of course hakuandika Yuda kama Yuda ila hao national geographic waliozigundua hizo nyaraka wanadai kimeandikwa na mtu aliyekuwa na access na Yuda ama alikuwa na access na memoir za Yuda kama ambavyo Musa hakuandika kitabu cha mwanzo ila nyaraka na Fasihi simulizi alizoacha ndio zikahamishiwa kwenye maandishi miaka zaidi ya 600 baada ya Yeye Kufa. Na kama hoja hii ikitumika ina maana nusu ya agano la kale itabidi liwe doubted mkuu.
 
Kwani Musa kaandika vitabu vingapi Agano la kale!.
 
SASA YA BARNABA MWENYEWE HALISI IKO WAPI
 

kwahiyo barnaba aliamua kupotosha au?
 
Kwani Musa kaandika vitabu vingapi Agano la kale!.
Musa hajaandika kitabu chochote kwenye agano la kale. Hili najua unafahamu sana tu ila sijafahamu kwanini umeuliza!! Au umeniandalia scard mkuu nikimbie mapema 😛😀
 
Kwenye uzi huu nimekiweka angalia page za nyuma kidogo kipo....
 
hata quran haikuandikwa na muhamad maana alikua hajui kusoma wala kuandika,kwahiyo kuandikwa na watu wengine sio ishu
 
Musa hajaandika kitabu chochote kwenye agano la kale. Hili najua unafahamu sana tu ila sijafahamu kwanini umeuliza!! Au umeniandalia scard mkuu nikimbie mapema 😛😀
[emoji23][emoji23][emoji23] Me napenda maelezo yako huwezi kutoa nusu/mkato siku zote!..
 
  1. Yesu hakuteuwa nani aandike, waandishi walikuwepo tuu, na walifunuliwa na roho wa MUNGU
  2. Barnabas ni moja kati ya wanafunzi wa Yesu, kuwepo na uhakika kama maandiko yake yaliteketezwa kwa lengo la kuficha kitu chochote, au kama yaliteketezwa
  3. Historia inaonesha, maandiko ya maisha juu ya yesu yalianza kuchambuliwa kugawanywa kwa yale, yanayomtakatifuza, mana inasemekana kuna walioandika yasiyomtakatifuza (Yapo-conspiracies)
 
Yuda Iskariot aliwezaje andika kitabu wakati alikufa mapema zaidi baada ya Yesu kusulubiwa!?..

Tofautisha yudas msaliti na Yuda Muinjili [emoji117] [emoji117] Ukristo una Wenyewe sio mnakuwa waongo na kudhania tu [emoji117] [emoji53] [emoji12]
 
Musa hajaandika kitabu chochote kwenye agano la kale. Hili najua unafahamu sana tu ila sijafahamu kwanini umeuliza!! Au umeniandalia scard mkuu nikimbie mapema 😛😀
Samahani mkuu,
hapa katika kitabu cha kutoka Mungu alimwambia Musa aandike andiko gani ?
Kama hajahusika kabisa na kuandika chochote kwenye Agano la Kale ?

Kutoka 34 : 27-28
27 BWANA akamwambia Musa, Andika maneno haya; kwa kuwa mimi nimefanya agano nawe, na pamoja na Israeli, kwa mujibu wa maneno haya.
28 Naye alikuwa huko pamoja na BWANA siku arobaini na masiku yake; hakula chakula, wala hakunywa maji. Naye akaandika katika hizo mbao, hayo maneno ya maagano, hizo amri kumi.
29 Hata ikawa, Musa aliposhuka katika mlima Sinai, na zile mbao mbili za ushuhuda zilikuwa mkononi mwa Musa, hapo aliposhuka katika mlima, Musa hakujua ya kuwa ngozi ya uso wake iling’aa kwa sababu amesema naye.

Mimi kwa uelewa wangu nilifikiri hapo Musa hapo anambiwa na Mungu aandike kitu fulani kwenye Agano la Kale.
 
Hoja yako ya msingi kuhusu makosa ya kijiografia umeikimbia sawa, kwasababu unajua makosa ni mengi kwenye biblia yako kwahiyo unaweza kataa maandiko mengi,twende unapotaka sasa kujificha kijana nataka uniambie hayo ulioyasema Yesu anakubaliana nayo? moja baada ya moja (andiko baada ya andiko) , kwasababu Yesu alishatangaza mjifunze kwake haya nifundishe kile Yesu alichokufunza kuhusu hicho ambacho unadai injili zote zinakubaliana( nielewe vizuri kile alichozungumza Yesu ,uniletee nyaraka za wagalatia ukaniambia kazungumza Yesu)
 
Usianze kutoa malalamiko nimekuuliza , makosa akiandika barnaba ndio unakataa injili yake, vip tukikuonyesha makosa mengine ndani ya biblia utakataa pia kama ulivyoikataa injili ya barnaba? rahisi tu kipi ujanielewa
 
Binafsi ningependelea one time tuongelee manabii wetu wa huku Afrika.ni kosa sana kuaminishwa kua Waafrika hawakua na manabii ilihali historia hiyo hiyo ktk vitabu vya imani inaitamka kush mala kadhaa na Kush ni Ethiopia ya leo.si vibaya kujua habari hizo lakini wakati mwingine tuwachambue waliokua wakifanya makubwa huku kwetu ambao kwa imani tulizojengewa tunaaminishwa kua walikua wachawi wakati walitenda mambo kama kina YESU,DAUDI,SULEIMAN na kadharika.sisi huku USUKUMANI tulikua na mtume alikua anaitwa "Ngh'wanamalundi"

tunaweza anza kwa kusoma Injili kama ilivyoandikwa na mtume Ngh'wanamalundi kwa waMalampaka,habari ziwafikie wa Maswa na Simiyu ya kwamba MUNGU asema........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…