GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #121
Kuunda silaha za nyuklia zinaachaje kuwa maendeleo ikiwa ni matokea ya ukuaji wa Sayansi?Katika nchi zaidi ya 180 za Dunia umelinganisha Iran na nchi mbili tu - zote 2 toka Afrika. Hapo kuna "bias".
Kuunda silaha za nyuklia sio maendeleo. Hizo ni silaha za maangamizi ( Weapons of Mass Destruction). Zinapingwa na dunia nzima, kuna Nuclear Non Prolification Treaty.
Je, nikilinganisha kiwango cha weledi kuhusu rushwa cha Iran 25 na Rwanda 51 (kwa msingi 100 ni bora zaidi) nitakuwa nimeitendea haki Iran bila kuchukuwa sampuli kubwa zaidi?
[Data za Transparency International za 2022]
Mabomu ya nyuklia ni silaha, kama vile bunduki za AK-47 zilivyo silaha. Zote Zina uwezo wa kujua, ingawa zinatofautiana uwezo.
Kuweza kuunda silaha za nyuklia ni maendeleo ya kiteknolojia, ndiyo maana ni mataifa makubwa pekee ndiyo yamemudu kufanya hivyo.