Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

75% uchumi wa Mexico umetokana na biashara haramu (madawa ya kulevya) si kwenye inshu za technology, elimu, diplomacy, maendeleo ya uchumi halali sawa na Mataifa mengine ya kihistoria kama Greek, Uajemi, Italy n.k.

Magwiji wa biashara hiyo wengi wao wamekuwa wakisumbua sana duniani kukwepana na hukumu za mahakama na magereza ya kimataifa.View attachment 2740974View attachment 2740975

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Basi Trump alikuwa sahihi kujenga ukuta. Hata mimi huenda ningefanya hivyo kama ningekuwa ndiye Trump.
 
Naamini asilimia ishirini ya Watanzania wangefanya alau "vitu vya kipuuzi" kama Masoud Kipanya nchi ingeongeza kasi ya kupiga hatua kimaendeleo.

Usimbeze Kipanya mkuu, alikofika inaweza ikawa ni hatua moja kuelekea kwenye ugunduzi mkubwa utakaoacha wengi vinywa wazi kwa mshangao mzuri.
Kwanini nisibeze? Yeye aendelee na kutengeneza katuni mambo ya technolojia awaachie wabobezi.
Ndio tatizo la watanzania mliowengi kutiana moyo hata mambo ya kipuuzi. Unafanya kitu cha kijinga kabisa katika karne hii halafu watu tukutie moyo!!! ebo!!

Ukimwona mwambie aache ujinga na asiingilie fani za watu.
 
Wanaifikia Nigeria? Nigeria huenda ikawa inaongoza barani Afrika kwa kuwa na wachawi nguli.
Mkuu umeiona Haiti lakini hata kwenye YouTube basi
Yaani nchi nzima wanaabudu mizimu na ushirikina
NIgeria wana dini ya kikristo na waislam ila huko ni Voodoo tu kwenda mbele
Hebu Google soko lao uone yaani ni kariakoo yoote ila ndumba tu matunguli na vichwa vya watu
 
Hii hapa Ramani ya Historia ya Iran.
Achaemenid Empire

View attachment 2739139

Hii hapa historia ya Ethiopia
Kingdom of Aksum

View attachment 2739140

Kumbuka waanzilishi wa kuabudu Mungu mmoja ni Wa Persia.

Vile vile ukumbuke Kuwa hawa jamaa iran wamepigana vita vingi sana.
1. Wamepigana na Russia Empire miaka nenda rudi

2. Wamepigana na Alexander the Great king of Macedonia.

3. Wamepigana na Roman Empire

4. Wamepigana na Mongols Empire

5. Wapigana na Arab Empire (Rashidun Caliphate)

Ethiopia haina historia hiyo brother.
Sasa ethiopia aijapigana vita kivipi nakati aijawai kutawaliwa na taifablolote ulimwenguni. Maana yake wamepigana sana ndomana awakutawaliwa na yoyote. Soma historia vizuri ndo utaelewa. Wamepigana sana na wavamizi katika ardhi yao ndomana wavamizi walishindwa kuwatawara.
 
Hiati kiboko aisee yaani huwaambii kitu kwa uchawi na shirk
Tabia ya Waafrika wote siyo Haiti tu.

India nimeona wanawaza mwaka 2047 watakapotimiza miaka 100 tangu wapate uhuru wawe kati ya top 3 ya nchi zenye uchumi mkubwa. Sisi sijui hata plan zetu ni kitu gani.

China nao 2049 wanaandaa massive show watakapotimiza miaka 100 tangu CCP walipochukua nchi. Sisi jiulize 2061 CCM wanawaza watatuambia nini sisi Wadangangika?

Haiti na Liberia zina miaka zaidi ya 200 tangu ziwe huru lakini wana nini cha kujivunia. Hata sisi tusipokuwa macho itapita miaka 200 na tutakuwa kama Haiti na Liberia
 
Sasa ethiopia aijapigana vita kivipi nakati aijawai kutawaliwa na taifablolote ulimwenguni. Maana yake wamepigana sana ndomana awakutawaliwa na yoyote. Soma historia vizuri ndo utaelewa. Wamepigana sana na wavamizi katika ardhi yao ndomana wavamizi walishindwa kuwatawara.
Jifunze kwanza kuandika kiswahili sanifu.
 
Iran wanawekeza sana kwenye science na wanavumbua vitu vingi sana
Wanasayansi wao wanasakwa usiku na mchana na wengine kuuwawa na maadui ila wamo tu

Na hivi karibuni kuna mwana sayansi kavumbua gari inayotembea kwa maji yes maji ya kunywa

View attachment 2739135
Mbona wazungu tayari wanayo technology hii kabla ya huyu muarabu.
Mambo ya hydrogen cells haya ukigoogle utayajua.
Gari kwa maji linaenda
 
Mfumo wa dini ndio umechangia hata hzi nchi za kiarabu zilipo Africa angalau wao Wana unafuu wa maisha sababu ya mfumo wa dini ya kiislam unapinga matabaka
 
Kwanini nisibeze? Yeye aendelee na kutengeneza katuni mambo ya technolojia awaachie wabobezi.
Ndio tatizo la watanzania mliowengi kutiana moyo hata mambo ya kipuuzi. Unafanya kitu cha kijinga kabisa katika karne hii halafu watu tukutie moyo!!! ebo!!

Ukimwona mwambie aache ujinga na asiingilie fani za watu.
Laiti ningekutana naye, ningemnunulia alau soda. Anastahili pongezi, kabisa. Yeye kamudu "kuunda gari", wakati wengine hatujajaribu hata baiskeli tukashindwa.

Wahenga washasema, "hata mbuyu ulianza kama mchicha".

Wanaofahamika kama wabobezi kwa sasa kuna walikoanzia, na pengine ungewakuta mwanzoni mwa "ugunduzi" wao, usingefikiria kama siku moja nao wangekuja kujulikana kama miongoni mwa wabobezi.

Tumtie Masoud moyo huku tukijitahidi kuwaibua na akina Masoud wengine wengi!
 
Kajitahidi sana. Anastahili pongezi. Tumtie moyo.
Kweli ila haya wangeongoza kuyafanya wanafunzi from scratch na sio kuunga Unga mpaka indicators za pikipiki
Ila kajitahidi

Tatizo sio sisi mkuu ni serikali ndio sio rafiki kwa kuwasaidia wanaotaka mafanikio
Hebu yule kijana anatengeneza mafuta kwa kutumia taka alivunjwa nguvu siku ya kwanza tu

Na aliemwambia idea mbaya yeye hata kifungo hajui kimetengenezwa kwa kitu gani
 
Tabia ya Waafrika wote siyo Haiti tu.

India nimeona wanawaza mwaka 2047 watakapotimiza miaka 100 tangu wapate uhuru wawe kati ya top 3 ya nchi zenye uchumi mkubwa. Sisi sijui hata plan zetu ni kitu gani.

China nao 2049 wanaandaa massive show watakapotimiza miaka 100 tangu CCP walipochukua nchi. Sisi jiulize 2061 CCM wanawaza watatuambia nini sisi Wadangangika?

Haiti na Liberia zina miaka zaidi ya 200 tangu ziwe huru lakini wana nini cha kujivunia. Hata sisi tusipokuwa macho itapita miaka 200 na tutakuwa kama Haiti na Liberia
Sisi baada ya miaka 100 bado tutakuwa tunapokezana mwenge
 
Mbona wazungu tayari wanayo technology hii kabla ya huyu muarabu.
Mambo ya hydrogen cells haya ukigoogle utayajua.
Gari kwa maji linaenda
Kweli na sio kuwa ni ya kwanza bali amevumbua kwa wazo lake lilivyomtuma
Hata ya umeme yalivumbuliwa 1884 lakini waliachana nayo na kutumia mafuta instead

Na leo ndio yanakuja kwa kasi sana mpaka nchi zingine kama 🇬🇧 wamesema mpaka kufikia 2035 hawatakuwa na magari ya mafuta tena na wanamtegemea mchina afyatue haraka ila tatizo wabunge wameanza finisu na kusema kuwa mchina anaweka mitambo ya kunasa vitu na kwa usalama wa hapa sio mzuri na wameomba target yao iongezewe mda kama mataifa mengine

Dunia inaenda kasi sana ila sisi mpaka leo bado mwenge unatumia mafuta ya Taa kwanini tusiingie world record?
 
Tabia ya Waafrika wote siyo Haiti tu.

India nimeona wanawaza mwaka 2047 watakapotimiza miaka 100 tangu wapate uhuru wawe kati ya top 3 ya nchi zenye uchumi mkubwa. Sisi sijui hata plan zetu ni kitu gani.

China nao 2049 wanaandaa massive show watakapotimiza miaka 100 tangu CCP walipochukua nchi. Sisi jiulize 2061 CCM wanawaza watatuambia nini sisi Wadangangika?

Haiti na Liberia zina miaka zaidi ya 200 tangu ziwe huru lakini wana nini cha kujivunia. Hata sisi tusipokuwa macho itapita miaka 200 na tutakuwa kama Haiti na Liberia
Mkuu hatuna tofauti nao kwa sababu wabunge wanateuliwa kwa hela zao lakini kama wananchi wangekataa hizo 20,000 ambapo hawawezi kukataa kwa unyonge wao basi tegemea kukimbiza mwenge miaka 200 mingine
 
Kweli ila haya wangeongoza kuyafanya wanafunzi from scratch na sio kuunga Unga mpaka indicators za pikipiki
Ila kajitahidi

Tatizo sio sisi mkuu ni serikali ndio sio rafiki kwa kuwasaidia wanaotaka mafanikio
Hebu yule kijana anatengeneza mafuta kwa kutumia taka alivunjwa nguvu siku ya kwanza tu

Na aliemwambia idea mbaya yeye hata kifungo hajui kimetengenezwa kwa kitu gani
Sijasikia habari ya kijana mtengeneza mafuta. Naweza kupata wapi hiyo taarifa?
 
Alikuwa trend hivi karibuni kwa kutengeneza petrol hata Ayo alimuweka kwenye blog yake ila nimeikosa sorry labda kuna wengine watasaidia hili

Yupo na huyo alieibadilisha bajaj na kuwa ya solar powered
Screenshot_20230906_175046_Instagram~2.png
 
Sasa watu eti wanakimbiza mwenge hao nao ni watu wa kuwa na akili kweli si watakuwa na akili ya kujitawaza tu.
 
Back
Top Bottom