Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

Zote, hasa Ethiopia na Iran, ni nchi kongwe. Zimekuwepo tokea kipindi Biblia inaandikwa.

Nchi zote tatu hazikuwahi kutawaliwa na Wazungu.

Lakini Iran imezipita zote kwa mambo mengi.

Kwa ubabe, imo! Inatunishiana misuli na mataifa makubwa kama Israel na Marekani.

Kama ni nguvu ya kiuchumi, imo.
Nguvu ya kijeshi, imo.

Kisayansi, imo. Hivi Sasa ipo katika harakati za kutengeneza mabomu ya nyuklia.

Ingawa inadaiwa kutokuwa na Demokrasia, lakini ni wazi kuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi na Kisayansi kuzidi Ethiopia na Liberia.

Nini kimewakwamisha ndugu zetu, Ethiopia na Liberia?
Iran wanajitahidi kwa demokrasia uchaguzi mtu anashinda kwa haki kabisa!!
 
Aisee! Mwenye gunduzi zilizofanywa na weusi atuwekee hapa alau na sisi tujipongeze.
Wapo wengi sana na kwa haraka tu watu weusi wamevumbua vitu au bidhaa 50,000 ndio elfu hamsini popote walipo wengi wakiwa watumwa au wafanyabiashara huko 🇺🇸

Kuna alievumbua Traffic light na hata alievunbua refrigerator za malori ni mtu mweusi

Tumo kwenye historia ila tatizo la mtu mweusi anapovumbua kitu haendelezi kama mtu mweupe anakuwa na patent na kuwa na shirika endelevu na kurithishana kama wazungu.

Hapa ni baadhi ya bidhaa tulizovumbua weusi
Ukosoma zote utashangaa sana ila ndio hivyo tena

Wamevumbua na mzungu akaendeleza huko huko kwao ila sio UK wala Germany ni USA.

Screenshot_20230904_202039_Google~2.png
 
Hii hapa Ramani ya Historia ya Iran.
Achaemenid Empire

View attachment 2739139

Hii hapa historia ya Ethiopia
Kingdom of Aksum

View attachment 2739140

Kumbuka waanzilishi wa kuabudu Mungu mmoja ni Wa Persia.

Vile vile ukumbuke Kuwa hawa jamaa iran wamepigana vita vingi sana.
1. Wamepigana na Russia Empire miaka nenda rudi

2. Wamepigana na Alexander the Great king of Macedonia.

3. Wamepigana na Roman Empire

4. Wamepigana na Mongols Empire

5. Wapigana na Arab Empire (Rashidun Caliphate)

Ethiopia haina historia hiyo brother.
Asante kwa elimu mkuu

Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
 
Hii hapa Ramani ya Historia ya Iran.
Achaemenid Empire

View attachment 2739139

Hii hapa historia ya Ethiopia
Kingdom of Aksum

View attachment 2739140

Kumbuka waanzilishi wa kuabudu Mungu mmoja ni Wa Persia.

Vile vile ukumbuke Kuwa hawa jamaa iran wamepigana vita vingi sana.
1. Wamepigana na Russia Empire miaka nenda rudi

2. Wamepigana na Alexander the Great king of Macedonia.

3. Wamepigana na Roman Empire

4. Wamepigana na Mongols Empire

5. Wapigana na Arab Empire (Rashidun Caliphate)

Ethiopia haina historia hiyo brother.
Nashukuru mkuu. Ngoja niangalie google nione kama nitapata cha kusema.
 
Iran wanajitahidi kwa demokrasia uchaguzi mtu anashinda kwa haki kabisa!!
Inasemekana hakuna uhuru wa kujieleza! Kwamba, utawala wake ni wa kidikteta, kwa mujibu wa wakosoaji wake.
 
Iran ina historia ya kuongoza dunia kupitia wafalme wake miaka hiyo na pale ndio iliasisiwa intelligence team ya assasin aka hashashin duniani wote wamecopy na muanzilishi hassan i sabah kizee cha mlimani pale mlima Alamut mountain aka ya mlima "eagle nest" pia kwa sasa wao ni matajiri sana wa mafuta wanayo mengi na pia inawatu mchanganyiko iranian jews ,persian ,arabs ,afghans ,armenia etc ,etc pia tukumbuke ustaarabu wa dunia ulianzia mesopotamia iran ikiwemo.
 
Iran ina historia ya kuongoza dunia kupitia wafalme wake miaka hiyo na pale ndio iliasisiwa intelligence branch ya assasin aka hashashin duniani wote wamecopy na muanzilishi hassan i sabah kizee cha mlimani pale mlima Alamut mountain aka ya mlima "eagle nest" pia kwa sasa wao ni matajiri sana wa mafuta wanayo mengi na pia inawatu mchanganyiko iranian jews ,persian ,arabs ,afghans ,armenia etc ,etc pia tukumbuke ustaarabu wa dunia ulianzia mesopotamia iran ikiwemo.
Mkuu, unaweza ukafafanua kidogo maana ya INTELLIGENCE BRANCH YA ASSASIN?
 
Back
Top Bottom