Kwanini Iran imezipita Ethiopia na Liberia?

Kuunda silaha za nyuklia zinaachaje kuwa maendeleo ikiwa ni matokea ya ukuaji wa Sayansi?

Mabomu ya nyuklia ni silaha, kama vile bunduki za AK-47 zilivyo silaha. Zote Zina uwezo wa kujua, ingawa zinatofautiana uwezo.

Kuweza kuunda silaha za nyuklia ni maendeleo ya kiteknolojia, ndiyo maana ni mataifa makubwa pekee ndiyo yamemudu kufanya hivyo.
 
acha dharau kipanya nimtu kama hao watu ila kinacho mshusha nikuzaliwa Afrika haswa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…