Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Wajuvi wa mambo naomba msaada wa kisheria .
we jamaa ni chiziii😂😂😂😂nimecheka sanaSizani kama kuna muirani humu jf sidhani..
Lakini ngoja wataalam wa kivita wa Tanzania wanaojua sheria za vita watatoa majibu.
Kama ni watu bas ni wanajeshikwahiyo ww unaamini israel kwenye mashambulizi aliyofanya hajaua raia huko iran..eti hamna vifo vya raia wa iran.?tatizo mashabiki wa israel hamtaki raia wenu nao wapigwe na kuuwawa ila raia wa wenzenu mnawauwa kwa halaiki kama mende tu na dunia nzima itawapigia kelele na wala hamjali ila na nyie mkifanyiwa hayo hayo ya raia wenu kuuwawa mnakuja juu na mnajiona nyie waisrael ndio wenye haki zaidi ya kuishi.! hata wenzenu uhai wanaupenda pia.
Acheni kuua raia kama kweli Allah amewatumaVita haina macho
DahhhSizani kama kuna muirani humu jf sidhani..
Lakini ngoja wataalam wa kivita wa Tanzania wanaojua sheria za vita watatoa majibu.
Uwezo mdogoWajuvi wa mambo naomba msaada wa kisheria .
Allah yupi tena mzee? Kwahiyo Israel yeye ashambulie halafu aangaliwe tu?Acheni kuua raia kama kweli Allah amewatuma
Nasikitika Wairan ni mashetani kiasi hichoWewe nenda kamalizie kiporo chako cha makande ukalale.
propaganda ganiIzo ni propagandaa ili kupata huruma ya Dunia..
Israel ikishambulia raia mnaanza na keleleUsijali mkubwa Katika medani za kivita hiyo tunaita ni "Collateral Damage".
Nani kaanza kushambuliaAllah yupi tena mzee? Kwahiyo Israel yeye ashambulie halafu aangaliwe tu?