Wewe pambana na ndorobo huko kakonko.Nasikitika Wairan ni mashetani kiasi hicho
Wewe pambana na ndorobo huko kakonko.Nasikitika Wairan ni mashetani kiasi hicho
Sasa makasiriko ya nini??Umeanzisha uzi una majibu yako tayari sasa unabweka nini?propaganda gani
Nani anasapoti vikundi vya kigaidi
Hamas
Hezbollah
houth
Syria
Iraq
mkuu punguza chuki utamwambia nn mungu ( ooh nilisahau nyie mnaabudu nyota na mwezi na Majini)
hili nalo neno ila sema una support kuwawa kwa waisraelHawana Tech nzuri makombora yanakosa target.
Najaribu kukuonesha ukweli maana unadhan mi nafanya propagandaSasa makasiriko ya nini??Umeanzisha uzi una majibu yako tayari sasa unabweka nini?
Wataalamu wa kivita toka Mbagala Zakiemu na Kurasini shimo la udongo. 😀😀😀. Hii nchi tumebarikiwa kuwa na wachambuzi kila sekta. Nasubiri nisome maoni yaoSizani kama kuna muirani humu jf sidhani..
Lakini ngoja wataalam wa kivita wa Tanzania wanaojua sheria za vita watatoa majibu.
Naumia kuona Iran inazalisha mabomu na makombola kwa ajili ya kuua raia siyo wanajeshiWataalamu wa kivita toka Mbagala Zakiemu na Kurasini shimo la udongo. 😀😀😀. Hii nchi tumebarikiwa kuwa na wachambuzi kila sekta. Nasubiri nisome maoni yao