Kwanini Iran inashambulia raia badala ya kupigana na jeshi??

Sizani kama kuna muirani humu jf sidhani..
Lakini ngoja wataalam wa kivita wa Tanzania wanaojua sheria za vita watatoa majibu.
Wataalamu wa kivita toka Mbagala Zakiemu na Kurasini shimo la udongo. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Hii nchi tumebarikiwa kuwa na wachambuzi kila sekta. Nasubiri nisome maoni yao
 
Wataalamu wa kivita toka Mbagala Zakiemu na Kurasini shimo la udongo. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Hii nchi tumebarikiwa kuwa na wachambuzi kila sekta. Nasubiri nisome maoni yao
Naumia kuona Iran inazalisha mabomu na makombola kwa ajili ya kuua raia siyo wanajeshi

Serikali ya kiislam ya iran inawachukia wanadamu kuliko hata shetan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…