KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao!
Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa Yesu? Na wakati waisrael hawataki kusikia wakristo wapo tayari kuishi na waislamu kuliko wakristo wakati wakristo ndiyo uwambii kitu kwa Israel!