Nani aliteua.Israel ni Taifa teule
Sio kweliSwali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa Yesu? Na wakati waisrael hawataki kusikia wakristo wapo tayari kuishi na waislamu kuliko wakristo wakati wakristo ndiyo uwambii kitu kwa Israel!
Umejibu vizuri sana. Wakristu tunamfuata Yesu, ambaye alizaliwa huko Israeli na kufanya kazi zake zote huko. Tutenganishe kumpenda Yesu na kuipenda nchi yake ya Israeli; sawa na mfano uliotoa wa kuipenda Serengeti na kuipenda Tanzania. Kwa Katoliki, Kanisa linamkubali Yesu lakini lilikuwa tofauti sana na Wayahudi ambao walimuua Yesu, Myahudi mwenzao, mpaka Mtaguso Mkuu wa 1963-1965 ndipo Kanisa likapunguza makali yanayoelekezwa Israeli.1. Wakristo hawaipendi israel, Bali wakristo hupenda kutembelea maeneo aliyoishi na kueneza injili BWANA WETU YESU KRISTO.
-mtu anapokuja kutalii ndani ya mbuga ya siringeti, si kwamba anaipenda tanzania (ndivyo ilivyo hata israel kwa wakristo, huwa wanaenda kutalii na kuyaona maeneo ya historia ya kikristo na si kuiabudu israel)
2. hakuna sehemu kwenye biblia imeandika kwamba njia ya kwenda mbinguni ni israel, soma yohana 14:1-10. yohana 3:16, (njia iliyotajwa hapa ni YESU KRISTO si israel)
3. huwezi ukawa taifa teule ukaua watu wa taifa lako jirani, huwezi ukasogeza mpaka wa jirani yako (haya yote wakristo tumekatazwa tena kwa sauti kubwa), na tunahimizwa kuwapenda majirani zetu na hata maadui zetu kama wapo, tuwahurumie na kuwahubiri habari njema.
4. ukikuta mtu anaabudu israeli jua kwenye biblia huyo ni apeche alolo
Kabla ya kuwa na Wakristo kulikua na Wayahudi(hapo tofautisha Waisraeli na Wayahudi-kuna watu wa asili tofauti na dini tofauti ndani ya Israeli kuanzia serikalini, mahakamani na jeshini, Wanaoongelewa ni wayahudi, ambao ni uzao waYuda, na Israeli ni nchi ya kiyahudi kama ilivyo British ni nchi ya wazungu ila wabongo wengi nao ni raia).Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao!
Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa Yesu? Na wakati waisrael hawataki kusikia wakristo wapo tayari kuishi na waislamu kuliko wakristo wakati wakristo ndiyo uwambii kitu kwa Israel!