Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

Israel haijapigana na Palestine bali imewachapa hamas hapo gaza pekee na sio Palestine nzima
1700997971635.png
 
Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
We acha upuuzi, tarehe 7-10-2023 Magaidi wa kiislamu HAMAS si ndio waliomvamia Israel , magaidi hao wamefunzwana URSU na Iran, ndani ya dakika 20 wakaua waisraeli 1200 pamoja na Mtanzania mwenzako a;lafu aliyeuliwa ndiye awekewe vikwazo?
HAMS, IRAN NA URUSI ndio wa kuwekewa vikwazo.
 
Back
Top Bottom