zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wapi imeandikwaPalestinians walikua wapangaji tu ile ardhi ni ya wayahudi tangu enzi na enzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi imeandikwaPalestinians walikua wapangaji tu ile ardhi ni ya wayahudi tangu enzi na enzi.
Crimea imeshatekwa na Russia ila Ukraine walitaka kuirudisha wakalipua mpaka daraja na kuua raia wasio na hatia. Ila hilo shambulia hawakuita ugaidi ila wakaita la kikomandoo. Kumbuka Ukraine pia ililipua bomba gesi la Nord stream na kusababisha gesi kuvujia majini na ku affect upatikanaji wa nishati hiyo ujerumaniWapi Ukraine alienda Russia kuua na kubaka wanawake na watoto kama walivyofanya hamas?
Ilishambuliwa au ilikua inalipiziwa kisasi kwa kuikalia kimabavu palestina. Ni sawa na Ukraine kuvamia crimea ilihali imetekwa na urusi hamjaita ugaidi ila ukombizi ila wakifanya palestina wanaitwa magaidi.Yani Israeli ishambuliwe na magaidi halafu tena iwekewe vikwazo?!
Yeah I understood ila nakuelewesha Hamas ni chama cha siasa na kina wabunge kabisa.... wale wanaovaa kininja na kupigana na Israel wanaitwa Al Qassam Brigade ni military wing ya Hamas na inapatikana Gaza tu.Hicho kizungu umekielewa?
Ukraine ilivamia urusi na kuua raia wake pamoja na kubaka na kuchoma moto wanawake na watotoIlishambuliwa au ilikua inalipiziwa kisasi kwa kuikalia kimabavu palestina. Ni sawa na Ukraine kuvamia crimea ilihali imetekwa na urusi hamjaita ugaidi ila ukombizi ila wakifanya palestina wanaitwa magaidi.
It's so weird and undumilakuwili
Ilishambuliwa ikatumia haki yake kujilinda kama taifa huru.Ilishambuliwa au ilikua inalipiziwa kisasi kwa kuikalia kimabavu palestina. Ni sawa na Ukraine kuvamia crimea ilihali imetekwa na urusi hamjaita ugaidi ila ukombizi ila wakifanya palestina wanaitwa magaidi.
It's so weird and undumilakuwili
Yeah I understood ila nakuelewesha Hamas ni chama cha siasa na kina wabunge kabisa.... wale wanaovaa kininja na kupigana na Israel wanaitwa Al Qassam Brigade ni military wing ya Hamas na inapatikana Gaza tu.
Check your facts kabla hujacomment.
Naona hauelewi Amin alivamia kagera kama Ambavyo Israel imevamia Palestina kwa miaka 75 sasa.... sasa anachofanya hamas ndio alichofanya Nyerere kwa Idd Amin.... kumfukuza mvamizi.Ilishambuliwa ikatumia haki yake kujilinda kama taifa huru.
Mwaka 1978 Amin akishirikiana na hao wapalestina walivamia BUKOBA na kuua raia tulimpiga na kumfukuza na kwenda kupindua serikali yake, sasa kwanini iwe nongwa kwa Israeli
Nimeshakuambia hao wanaopigana ni Al Qassam Brigade ila Hamas ni chama kabisa cha siasa ni kama tu M23 political wing ilikua chini ya Jean Marie Runiga ila military wing ilikua chini ya Sultan makenga. Na hilo lipo hata chadema wana Red Brigade, CCM kuna green guards etc tatizo hamfuatilii siasa za kimataifa ila mnajikuta wajuaji.Kuwa chama cha siasa haimaanishi hawana ugaidi. Wale ni magaidi tu
Hakujawahi kuwa na taifa la PalestineNaona hauelewi Amin alivamia kagera kama Ambavyo Israel imevamia Palestina kwa miaka 75 sasa.... sasa anachofanya hamas ndio alichofanya Nyerere kwa Idd Amin.... kumfukuza mvamizi.
Lile eneo la concert ni eneo halali la Palestina ila lilikaliwa na wayahudi kimabavu wakifanya mambo machafu kama miziki na ushoga ulitaka wafanyaje ardhi yao imeporwa na kunajisiwa?
kwann waliporwa ardhi , ilikuaje ? mnapenda kuhadithia mambo nusu nusu sana ili muubebe upande mmoja , una eneo lako nina eneo langu unakuwa unarusha mawe kwangu muda wote halaf unataka nkuache ukae krb yangu?Hivi unaongea utumbo gani? Unajua maana ya Jewish Settlers? Yaani baada ya marital yote hayo kuisha na mikataba ya amani na palestina kuporwa ardhi yote kimabavu kuisha bado kila mwaka walowezi/jewish settlers wanajitwalia maeneo kwenye ardhi ya palestina na kufukuza wenyeji.
Sasa mpaka leo wameshafika Jews laki 5 wanaishi maeneo ya palestina kinyume na sheria. Sasa mfano huko westbank hakuna cha Hamas wala ugaidi ila hao settlers wameshapora zaidi ya 50% ya westbank.
Nadhani wengi hamuelewi chanzo cha mgogoro wa October 7 mnadhani Israel anachokozwa.
kwann walikaloa hayo maeneo kimabavu ? ilikuajeKujibu kivipi? Walowezi wamekalia kilazima vijiji vya palestina kma Amin alivyokalia kagera kwa lazima. Sasa Hamas wakaenda shambulia hao walowezi, ni sawa na nyerere alivyoenda shambulia walowezi wa Uganda huko kagera.
So hapo Idd Amin ndio Israel not viceversa
kwann israel ilipora hayo maeneo ?Exactly palestina walishakubali kuporwa ardhi yao baada ya vita za 1948, 1967, 1973 n.k cha ajabu Israel imeendelea kujitanua kila mwaka na recently umeona wametimua watu Gaza ili waje kuipora pia. Same to Ukraine kwamba wamejibu mapigo kama Hamas ilivyojibu mapigo.
Cha ajabu mgogoro wa Ukraine unauchambua kabla ya 2022 ila mgogoro wa Israel unachambua mwisho October ili tu kuonyesha kwamba Israel imejibu mapigo na sio miaka 75 iliyopita kuonyesha how palestina imedhulumiwa ardhi yao?
Double standards ni kwa faida ya nani
kwann wanaporwa maeneo?Westbank hakuna Hamas ila 50% ya ardhi yao imeporwa na Israel na watu wanakufa kila siku!