Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

hoja za kukomboa crimea zimekuja baada ya kuvamia mwaka 2022 alipoona Urusi anaitala Ukraine nzima
Exactly palestina walishakubali kuporwa ardhi yao baada ya vita za 1948, 1967, 1973 n.k cha ajabu Israel imeendelea kujitanua kila mwaka na recently umeona wametimua watu Gaza ili waje kuipora pia. Same to Ukraine kwamba wamejibu mapigo kama Hamas ilivyojibu mapigo.

Cha ajabu mgogoro wa Ukraine unauchambua kabla ya 2022 ila mgogoro wa Israel unachambua mwisho October ili tu kuonyesha kwamba Israel imejibu mapigo na sio miaka 75 iliyopita kuonyesha how palestina imedhulumiwa ardhi yao?

Double standards ni kwa faida ya nani
 
Kuna dude linaitwa AIPAC kule marekani,ni the biggest lobby group kwa ajili ya maslahi ya Israel na Jews kwa ujumla. Hakuna president au senetor wa marekani anakoa mbele yao.
 
Wapi nimetaja taifa la palestina? Nimesema Israel imevamia westbank na Jerusalem wakati ni eneo la Palestina ila hawajawekewa vikwazo. Hiyo crimea na Ukraine zote zilikua sehemu ya urusi huko nyuma so ni kama tu Dodoma iivamie Zanzibar!!

Cha ajabu Russia kudai ardhi ya mababu zake huko Crimea imekua nongwa ila Palestina kudai ardhi yao wanaitwa magaidi.

NB: Hakukuwahi kuwa na taifa la Israel, same to hakukuwa na taifa la palestina ila ilikuwepo "nchi" inaitwa British Palestine ambalo lilikuwa koloni la Palestina lililo chini ya uingereza. Cha ajabu hiyo Palestine kwa sasa inaitwa Israel baada ya ardhi ya wapalestina kuporwa
British hawakukuta nchi ya Palestine walikuta ottoman empire na Israel hawakukuta Palestine walikuta British mandatory

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Ibrahim alizaliwa wapi ? Nchi gani kwa sasa ?
Alizaliwa Iraq akahamia Canaan akanunua shamba hapo canan hilo shamba ndio mji wa Jerusalem baadaye mfalme Daudi akapigana vita akaukomboa mji wa Jerusalem kutoka kwa Wayebusi ukaitwa mji wa Daudi sasa wapalestina Jerusalem unawahusu nini? Wakati uliitwa mji wa Daudi na daudi alikuwa mfalme wa wayahudi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huwa najiuliza swali huu mji wa Jerusalem ulikombolewa Jordan kwenye vita vya 1967 ulikuwa Jordan ukakombolewa na Israel inakuwaje wapalestina wanaudai nilitegemea Jordan angeudai ulichukuliwa kutoka kwao

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Alizaliwa Iraq akahamia Canaan akanunua shamba hapo canan hilo shamba ndio mji wa Jerusalem baadaye mfalme Daudi akapigana vita akaukomboa mji wa Jerusalem kutoka kwa Wayebusi ukaitwa mji wa Daudi sasa wapalestina Jerusalem unawahusu nini? Wakati uliitwa mji wa Daudi na daudi alikuwa mfalme wa wayahudi

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
So, Ibrahim alikuta watu kaanani ? Na kwao ni Iraq sio hapo Palestine ?
 
Back
Top Bottom