Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

yaan nyiny waislam mna matatizo sana , yanayotokea msumbij kimya hamas waliposhambulia mlishangilia wanajibiwa sasa mnatia huruma mara vikwazo
Nani muislam wewe mpumbavu naona unawashwa washwa kuniquote hovyo hovyo kama mjinga hivi
 
Wewe unafikiri siku Russia akianza kubondwa na Ukraine, viongozi wa Ukraine watawekewa vikwazo?
kwan vikwazo wanawekewa wanaoshinda vita au wasababishaj wa vita ? ebu watu weusi tuwe na ufaham kidogo , tunachekelea ujinga wkt majanga ya ugaidi yapo ndan ya tz tyt
 
Jews wako very strategic,power behind the scenes. Founder wa Facebook, Google ni Jews,Wana nguvu kiasi tani. Media zote kubwa Wana interest, banking and finance pia. Hushangai hakuna kiongozi wa magharibi aliyelaani mashambulizi ya Israel kule Gaza? The have them by the balls🤗.
Bila uingereza na ufaransa kusingekua na taifa la Israel Leo,walilianzisha kwa makusudi maalum,akaja kuingia USA,hao wakiwatupa mkono,mwezi ni mrefu Sana Israel ku-exist,Hadi mitandao ya porn wanamiliki,ni watu wa biashara,lakini uyahudi na uzayuni ni vitu viwili tofauti, netanyahu ni mzayuni,wayahudi wenyewe huko marekani wanawapinga akina netanyahu
 
Russia ilipora Crimea kama ambavyo Israel imepora westbank au Jerusalem. Cha ajabu Wapalestina wakipambana kuirudisha wanaitwa magaidi ila Ukraine ikipambana kuirudisha Crimea wanaitwa wazalendo huku Russia ikiwekewa vikwazo.

Huu undumilakuwili ni kwa faida ya nani
weww ni mnafiki Ukraine ilikaa kimya mpk 2022 urusi alipovamia ukraine , wala Ukraine hakuwa na mipango ya kupigana na Urusi kabla ya 2022 hoja za kukomboa crimea zimekuja baada ya kuvamia mwaka 2022 alipoona Urusi anaitala Ukraine nzima , ila Israel imekuwa inachokozwa kwa kushambuliwa tangu mwaka 1927 hata 1948 hata 1950s etc sijawai sikia Ukraine kaishambulia Urusi kabla ya 2022 , bara la afrika halipig hatua kisa UNAFIKI
 
Nchi za magharibi ndiyo zinacontrol Israel,ni project yao,hebu fanya Israel isingekuwepo pale, mashariki ya kati ingekuaje!?
kwan yemen , syria , iraq , sudan , somalia , libyia , mali , Afghanstan , Lebanon kote huko kuna Israel , Israel ndo anawafanya wawe wamoja hao watu wa mashariki ya kati
 
Wapi nimetaja taifa la palestina? Nimesema Israel imevamia westbank na Jerusalem wakati ni eneo la Palestina ila hawajawekewa vikwazo. Hiyo crimea na Ukraine zote zilikua sehemu ya urusi huko nyuma so ni kama tu Dodoma iivamie Zanzibar!!

Cha ajabu Russia kudai ardhi ya mababu zake huko Crimea imekua nongwa ila Palestina kudai ardhi yao wanaitwa magaidi.

NB: Hakukuwahi kuwa na taifa la Israel, same to hakukuwa na taifa la palestina ila ilikuwepo "nchi" inaitwa British Palestine ambalo lilikuwa koloni la Palestina lililo chini ya uingereza. Cha ajabu hiyo Palestine kwa sasa inaitwa Israel baada ya ardhi ya wapalestina kuporwa
ilikuaje mpk wakaporwa hayo maeneo ? wewe ni mtu mpuuz na unafiki ndo unakuendesha , haujadili mambo kwa mzan sw , yaan unajuwa kbs waliishambulia israel wakapigwa kisha wakaporwa maeneo kama fidia ya vita , hapa unashabikia hamas kuua watoto na wanawake eti wanapigania maeneo yao
 
kwan yemen , syria , iraq , sudan , somalia , libyia , mali , Afghanstan , Lebanon kote huko kuna Israel , Israel ndo anawafanya wawe wamoja hao watu wa mashariki ya kati
Nadhani nilishakwambia siku moja kwamba juu ya mabega yako Kuna buyu lisilo na faida
 
Jews wako very strategic,power behind the scenes. Founder wa Facebook, Google ni Jews,Wana nguvu kiasi tani. Media zote kubwa Wana interest, banking and finance pia. Hushangai hakuna kiongozi wa magharibi aliyelaani mashambulizi ya Israel kule Gaza? The have them by the balls[emoji847].
kwann waarab wasiwe na hii nguvu ?
 
Solomon Friedman ni mmoja wa founders wa Ethical partners ambayo inamiliki pornhub ni Jew.wanamiliki more than 50% ya porn industry duniani.
sion uhusiano ax mgogoro wa sasa
 
Bila uingereza na ufaransa kusingekua na taifa la Israel Leo,walilianzisha kwa makusudi maalum,akaja kuingia USA,hao wakiwatupa mkono,mwezi ni mrefu Sana Israel ku-exist,Hadi mitandao ya porn wanamiliki,ni watu wa biashara,lakini uyahudi na uzayuni ni vitu viwili tofauti, netanyahu ni mzayuni,wayahudi wenyewe huko marekani wanawapinga akina netanyahu
mshaanza uongo ss kama vile hakuna taifa lililogawanya kuwa mataifa mawili , mwaka 1948 waarabu walikuwa machawa wa wazungu , walikuwa mambwiga tu
 
Israel imekuwa inachokozwa kwa kushambuliwa
Hivi unaongea utumbo gani? Unajua maana ya Jewish Settlers? Yaani baada ya marital yote hayo kuisha na mikataba ya amani na palestina kuporwa ardhi yote kimabavu kuisha bado kila mwaka walowezi/jewish settlers wanajitwalia maeneo kwenye ardhi ya palestina na kufukuza wenyeji.

Sasa mpaka leo wameshafika Jews laki 5 wanaishi maeneo ya palestina kinyume na sheria. Sasa mfano huko westbank hakuna cha Hamas wala ugaidi ila hao settlers wameshapora zaidi ya 50% ya westbank.

Nadhani wengi hamuelewi chanzo cha mgogoro wa October 7 mnadhani Israel anachokozwa.
 
siku hz ukishambuliws ni kosa kujibu ? ni sw kudai late Nyerere kuwekewa vikwazo kwa kuivamia uganda , hv watu weusi mnaenda mbele au mnarudi nyuma ?
Kujibu kivipi? Walowezi wamekalia kilazima vijiji vya palestina kma Amin alivyokalia kagera kwa lazima. Sasa Hamas wakaenda shambulia hao walowezi, ni sawa na nyerere alivyoenda shambulia walowezi wa Uganda huko kagera.

So hapo Idd Amin ndio Israel not viceversa
 
Back
Top Bottom