Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

Same reasons Marekani haiwekewi vikwazo wakati wenyewe ndio mashetani no 1.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Screenshot_20230324-091126.png
 
Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
Wewe unafikiri siku Russia akianza kubondwa na Ukraine, viongozi wa Ukraine watawekewa vikwazo?
 
Ukraine kaichokozaje Urusi hata hakurusha jiwe urusi acha unafiki na uwongo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Russia ilipora Crimea kama ambavyo Israel imepora westbank au Jerusalem. Cha ajabu Wapalestina wakipambana kuirudisha wanaitwa magaidi ila Ukraine ikipambana kuirudisha Crimea wanaitwa wazalendo huku Russia ikiwekewa vikwazo.

Huu undumilakuwili ni kwa faida ya nani
 
Wayahudi wana control nchi zote za magharibi kisera. Wana control media, banks,academia hadi porn industry. Hii inamaanisha wao ni untouchable ☺️☺️,unyama wanafanya huku wanaimba wimbo wa antisemitism.
Nchi za magharibi ndiyo zinacontrol Israel,ni project yao,hebu fanya Israel isingekuwepo pale, mashariki ya kati ingekuaje!?
 
Russia ilipora Crimea kama ambavyo Israel imepora westbank au Jerusalem. Cha ajabu Wapalestina wakipambana kuirudisha wanaitwa magaidi ila Ukraine ikipambana kuirudisha Crimea wanaitwa wazalendo huku Russia ikiwekewa vikwazo.

Huu undumilakuwili ni kwa faida ya nani
Hapajawahi kuwa na taifa linaloitwa Palestine?ila Ukraine ilikuwepo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom