Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

Kwanini Israel haiwekewi vikwazo kama Urusi?

Kwanini nchi ya Israel na viongozi wake hawawekewi vikwazo kama ambavyo Russia amekewa kwa sababu ya Ukraine?
Suali zuri linalotaka kutafakari.
Unafiki wa dunia unafichuka pole pole
 
Hapajawahi kuwa na taifa linaloitwa Palestine?ila Ukraine ilikuwepo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Wapi nimetaja taifa la palestina? Nimesema Israel imevamia westbank na Jerusalem wakati ni eneo la Palestina ila hawajawekewa vikwazo. Hiyo crimea na Ukraine zote zilikua sehemu ya urusi huko nyuma so ni kama tu Dodoma iivamie Zanzibar!!

Cha ajabu Russia kudai ardhi ya mababu zake huko Crimea imekua nongwa ila Palestina kudai ardhi yao wanaitwa magaidi.

NB: Hakukuwahi kuwa na taifa la Israel, same to hakukuwa na taifa la palestina ila ilikuwepo "nchi" inaitwa British Palestine ambalo lilikuwa koloni la Palestina lililo chini ya uingereza. Cha ajabu hiyo Palestine kwa sasa inaitwa Israel baada ya ardhi ya wapalestina kuporwa
 
Kumbe? Kweli wewe akili fupi
we dogo kichwan ni zero kbs , ukraine lin alishambulia ndan ya urusi kabla ya urusi kuivamia Ukraine ? lin Ukraine aliteka raia kutokea taifa la Urusi ? muda mwingine mnaonesha upumbav yaan dini ya mwarabu imekufanya mwehu
 
we dogo kichwan ni zero kbs , ukraine lin alishambulia ndan ya urusi kabla ya urusi kuivamia Ukraine ? lin Ukraine aliteka raia kutokea taifa la Urusi ? muda mwingine mnaonesha upumbav yaan dini ya mwarabu imekufanya mwehu
Wewe mwehu sana. Urusi mwehu akamvamie tu ukrain bila ya sababu? Sunday school zimekuharibu akili
 
Nchi za magharibi ndiyo zinacontrol Israel,ni project yao,hebu fanya Israel isingekuwepo pale, mashariki ya kati ingekuaje!?
Jews wako very strategic,power behind the scenes. Founder wa Facebook, Google ni Jews,Wana nguvu kiasi tani. Media zote kubwa Wana interest, banking and finance pia. Hushangai hakuna kiongozi wa magharibi aliyelaani mashambulizi ya Israel kule Gaza? The have them by the balls🤗.
 
Siku hizi kupigania uhuru dhidi ya udhalimu imekua ugaidi? Mandela aliitwa gaidi Kenyatta gaidi unaamini hilo
lin Mandera aliua raia wa kikabulu na kuwateka raia wa kikabulu na kuwapeleka mateka watoto na raia wa kigeni ? sijawai ona mpigania uhuru hata mmoja aliwahi fanya wanavyofanyaga hamas , HII DINI IMEMFANYA MTU MWEUSI KUWA MOJA YA MTU MPUMBAV DUNIANI , YAAN TUNAFIKURIA HATA KUKU ANAWAZIDI , MTU ANATEKA WATOTO NA KUCHINJA WATU NA KUWASABABISHIA RAIA MATESO , SIJAWAI ONA WAPIGANIA UHURU WALIWAI WATUMIA RAIA KAMA KINGA , MAU MAU WALIPIGANA WAO KAMA WAO KUTOKEA MSITUNI NA SI KWENYE MAKAZI YA KIRAIA , MAKUNDI HAYA HAYA YAMEICHAFUA AFRIKA A KWAVILE MMEKUWA MISUKULE YA DINI ZENU HIZO MPO KIMYA TU
 
Swali linahusu toka 1948 na ni Palestine nzima sio Hamas pekee.
kwan mwaka 1948 nan alianza mshambulia mwenzie si hao hao waarabu ndo walianza mshambulia Israel , ila watu wanaosapoti hamas ukichunguza kichwan ni hamnazo kbs , wanapenda kitaja 1948 ilahawajui kuwa muasisi wa vita hz ni hao waarabu ni kibaya waarabu hawakuanzia hapo tu wameanzia mwaka 1927 baada ya kuwaua wayaudi hovyo kwa mwaka huo
 
Wewe niambie uchokozi wa Palestine toka 1948 ni upi ?
muwe mnafuatilia sio mnakuwa wajinga wajinga , kwa mtu mzima kuuliza swali la kitoto hivyo ni aibu , kwamba hujui kila mtu alipewa eneo lake ? au hujui kuwa waarabu wa palestina wakisaidiwa na majiran waarabu ndo walianza wavamia waisrael mwaka 1948 baada ya kila mtu kupewa eneo lake lkn waarabu wa palestina wakataka wachukue eneo lote , walipigwa ila pia wakaja rudia tena miaka ya 1950s ndipo Israel akaona ni bora awe ananyofoa eneo lao iwe tishio kwao kurudia kuwashambulia Israel ila miaka ya 1960s wakaandaa mipango tena ya kuwavamia Israel pia wakapigwa , na wamekuwa wanaanzisha mashambuliz na wanapigwa , sijui unatumia kigezo gan kuhararisha upuuz wa waarab wa palestina uliopelekea wakapoteza 2/3 ya eneo lao kisa tama ya kaeneo ka israel tangu 1948
 
Swali linahusu Palestine sio Hamas pekee na ni kutoka 1948
ww ujinga wako ufiche au soma historia acha kusikiliza story za vijiwen , yaan ina maaa hui kuwa waarab ( wanajiita wapalestina ) walinza ishambulia israel na sio 1948 bali waliwai fanya hv mwaka1927 pia
 
Hamas walilianzisha wameshindwa kulimaliza
 
Anhaa kumbe ni hivyo basi sawa
yaan nyiny waislam mna matatizo sana , yanayotokea msumbij kimya hamas waliposhambulia mlishangilia wanajibiwa sasa mnatia huruma mara vikwazo
 
Back
Top Bottom