zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Exactly palestina walishakubali kuporwa ardhi yao baada ya vita za 1948, 1967, 1973 n.k cha ajabu Israel imeendelea kujitanua kila mwaka na recently umeona wametimua watu Gaza ili waje kuipora pia. Same to Ukraine kwamba wamejibu mapigo kama Hamas ilivyojibu mapigo.hoja za kukomboa crimea zimekuja baada ya kuvamia mwaka 2022 alipoona Urusi anaitala Ukraine nzima
Cha ajabu mgogoro wa Ukraine unauchambua kabla ya 2022 ila mgogoro wa Israel unachambua mwisho October ili tu kuonyesha kwamba Israel imejibu mapigo na sio miaka 75 iliyopita kuonyesha how palestina imedhulumiwa ardhi yao?
Double standards ni kwa faida ya nani