Vipi na yeye akiratibu shughuli za kuua Waisraeli, hua unaumia pia?Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote.
Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu?
Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
Huyu ni kati ya waliopanga kuifuta Israel kwenye uso wa dunia ni vyema na haki yeye kafutwa!!!Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote.
Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu?
Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
Polee sana Mkuu Kwa maumivu....!Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote.
Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu?
Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
Aaaaaaiiiiseeee! Nmecheka sana halafu nipo msibani Kemondo pale juu kanaziPolee sana Mkuu Kwa maumivu....!
Mna Ukaribu kwenye Ukoo!?
Sasa unaumiaje mwana wasu? Angekuwa mtu wa Mara huyo mzee ningekuelewaHapana, ila imeniuma tu.
Israel = Izrail =Mtoa roho
Haishangazi mkuu
Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote.
Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu?
Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
Israel = Izrail =Mtoa roho
Haishangazi mkuu