Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,528
- 4,355
kwasababu mnawachokoza na kuleta chuki dhidi ya wayahudiWamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote.
Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu?
Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
kwasababu mnawachokoza na kuleta chuki dhidi ya wayahudiWamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote.
Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu?
Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
Polee na wewe Mkuu.......!Aaaaaaiiiiseeee! Nmecheka sana halafu nipo msibani Kemondo pale juu kanazi
Huyu itakuwa ni mmiliki wa kobazPolee sana Mkuu Kwa maumivu....!
Mna Ukaribu kwenye Ukoo!?
Ni kwa sababu dunia siku zote inatawaliwa na wanyama na mashetani wenye sura za binadamuWamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote.
Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu?
Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
Kama Iran Ina ndoto za kulifuta Taifa la Israel what nextWamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote.
Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu?
Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
Information za iran uwezi pata Bora za Israel zipo wazi maana hata serikali wanapiga picha na kuweka mtandaoni,Lete na za kule kwingine mkuu