Kwanini Israel iruhusiwe kuwa na silaha za nyuklia?

Hata Iran Tayari Ana Silaha Za Nyuklia Ila Ni Kwa Siri Sana Hajitangazi Km Hao Vichaa Wa Kiyahudi Katulia 2 Kimya Yeye C Mjinga Akae Bila Nuclear Weaponx Ilhali Anatishiwa Kushambuliwa Na Israel
 
Umekosea kiswahili.
Sema Waungwana wako jirani Na ADUI MKUBWA SANA wa Binaadamu. Nae ni ISRAELI.

Wewe ktk Historia ya Dunia hii wapi ulishaona Taifa HALINA rafiki HATTA MMOJA DUNIANI?

Israel ni Taifa pekee Duniani Lisilo na rafiki wa kweli.

Hao wanajiita marafiki wa Israel Wote wanasema hivyo kwa maslahi tu. Na hayo wanayasema Wazi kabisa.

Hii nchi inatakiwa Ipanguswe kabisa duniani. israeli NI Saratani ya Dunia.

Israel ni Taifa lenye nguvu zaidi duniani.

Lipo katikati ya maadui zake na hakuna anayeweza kupambana nalo
 
Haya ndio matatizo ya Gongo za be8 poa.
Bas8 hapo na wewe unajiona km Shemeji yake na netanyahu japo kuwa we ni Mkerewe!

Teh teh teh teh!
 
Matusi na kejeli ni kuishiwa hoja.

Nini hiki ulichoandika, na wewe utajiita GT?
 
HAKUNA matusi yyt hapo juu bali ni namna unavyojibu wewe!

Vipi ulete habari za Kahawa hapa halafu watu wakae kimya.?

Usilazmishe kujitoa ufaham, kila siku mnalialia kuhusu Taifa kubwa Israel.

Narudia kukwambia, hakuna nchi yoyote dunian inayoweza kupambana na Israel kijeshi.

Hili limethibitishwa kwenye Neno la Mungu na hata kivitendo.
 
Umekosea kiswahili.
Sema Waungwana wako jirani Na ADUI MKUBWA SANA wa Binaadamu. Nae ni ISRAELI.

Wewe ktk Historia ya Dunia hii wapi ulishaona Taifa HALINA rafiki HATTA MMOJA DUNIANI?

Israel ni Taifa pekee Duniani Lisilo na rafiki wa kweli.

Hao wanajiita marafiki wa Israel Wote wanasema hivyo kwa maslahi tu. Na hayo wanayasema Wazi kabisa.

Hii nchi inatakiwa Ipanguswe kabisa duniani. israeli NI Saratani ya Dunia.

Aliyekufanyeni misukule kafa! kama halina rafiki iweje lipige ganzi UN na kukuwekeni pabaya ninyi mnaopendwa na kila taifa ?
 
Usilazmishe kujitoa ufaham, kila siku mnalialia kuhusu Taifa kubwa Israel.

Narudia kukwambia, hakuna nchi yoyote dunian inayoweza kupambana na Israel kijeshi.

Hili limethibitishwa kwenye Neno la Mungu na hata kivitendo.

Sasa si ndio nikasema huko nyuma kuwa Gongo ya bei ndogo mbaya¿

We huna habari huyo mungu wako unaemuengelea hapa Pia Aliuawa na hao hao waisraeli?

Sasa kweli imaingia akilini mungu awasifu na kuwachagua watu walio mtundika msalabani?

Au wakati analichagua hilo taifa alikuwa hajui kuwa iko siku watamgeuzia Kibao Wamuue?

Tafakari Nje ya Box! Unajiita Warrior bila kuwa na Sifa zake?

Unabeba mazima tu ka Punda anavyo bebeshwa Mizigo?

UkiShirikisha Ubongo Mkuu utauona huu wote ni USANII TU.
 
Hata Iran Tayari Ana Silaha Za Nyuklia Ila Ni Kwa Siri Sana Hajitangazi Km Hao Vichaa Wa Kiyahudi Katulia 2 Kimya Yeye C Mjinga Akae Bila Nuclear Weaponx Ilhali Anatishiwa Kushambuliwa Na Israel

Mkuu leo wayahudi ni vichaa?unajua kwamba ile chanjo uliyopigwa utoton usiwe mlemavu na ambayo kila mtoto asiyezidi miaka mitanö lazma aipitie ni mchango wa myaudi leo hii unawaita vichaa,unajua hyo chanjo peke yake imeokoa maisha ya watu wangapi Dunian,leo hii unawaita vichaa,wayaudi ingawaje ni wachache ndio wamechangia kiasi kikubwa katika maendeleo na ustawi wa binadamu kuanzia kwenye elimu,afya na technologia.
 
Yaani WAISLAM/WAARABU Mmekaa MNAOTA KWAMBA IPO SIKU MTAIPIGA ISRAEL NA KUISHINDA????????MTUME KAWAPA #CHUKI KALI MOYONI.
 
Sasa si ndio nikasema huko nyuma kuwa Gongo ya bei ndogo mbaya¿

We huna habari huyo mungu wako unaemuengelea hapa Pia Aliuawa na hao hao waisraeli?

Sasa kweli imaingia akilini mungu awasifu na kuwachagua watu walio mtundika msalabani?

Au wakati analichagua hilo taifa alikuwa hajui kuwa iko siku watamgeuzia Kibao Wamuue?

Tafakari Nje ya Box! Unajiita Warrior bila kuwa na Sifa zake?

Unabeba mazima tu ka Punda anavyo bebeshwa Mizigo?

UkiShirikisha Ubongo Mkuu utauona huu wote ni USANII TU.

Nilikua sijagundua najibizana na kichaa, huna hoja, unahamahama kama gari bovu.

Hizi dini zenu za kigaidi zmeshawaharibu.
Najuta na sitarudia kujadiliana na mwendawazimu.
 
Aliyekufanyeni misukule kafa! kama halina rafiki iweje lipige ganzi UN na kukuwekeni pabaya ninyi mnaopendwa na kila taifa ?

We unajifanya Hutambui kuwa Hata wachawi wanafanikiwa sana mambo yao hali ya kuwa hawana rafiki?

Israeli Wameandamwa na LAANA KUU.
Vijana wao asilimia 60 ni waliberali.

Taifa limejaa Mashoga kuliko matunda!

Leo hii Tel aviv imepewa Taji la Kuwa ni MJI MKUU WA MASHOGA DUNIANI.

Gonga hapa uone mashoga wa Taifa teule.
http://www.catholic.org/news/international/europe/story.php?id=51339

Hapo Kuna kitu kimebaki?

Baada ya miaka michache tu ya mbele Lile taifa litafanya kila raia WAKE lzm awe SHOGA!

Hapo ndipo we mkwesa utkapopakwa Rangi za midomo bila hiari.
 
Nilikua sijagundua najibizana na kichaa, huna hoja, unahamahama kama gari bovu.

Hizi dini zenu za kigaidi zmeshawaharibu.
Najuta na sitarudia kujadiliana na mwendawazimu.

Unajuta kujadili na mimi lkn Hujajuta Kuabudu Kinyago?

Teh teh teh teh!

We kweli Mgalatia.
Ni nani aliyewaloga nyie?
 
Israel will stand. Waarabu mtashindana ila hamtashinda.your allah and muhammad failed and so you. #israelforever

Baki na Kibantu we shangazi.
Utakuja Tapika Kitimoto bure kujaribu kutumia lugha ya mungu wako wa msalaba.

We mpaka leo 21st century bado unanunua Picha ya mzungu dukani halafu unaipigia goti na kuiomba?

Teh teh teh teh
Kaaz kweli kweli
 
Israel imezungukwa na maadui pande zote hivyo ni vizuri ikawa na silaha za nyuklia za kujilinda! Hata hivyo sina uhakika kama Israel ni signatory wa Nuclear Non-Proliferation Treaty!

Na kwanini awe peke yake na maadui wengi? Huoni ana matatizo mkuu?
 
We unajifanya Hutambui kuwa Hata wachawi wanafanikiwa sana mambo yao hali ya kuwa hawana rafiki?

Israeli Wameandamwa na LAANA KUU.
Vijana wao asilimia 60 ni waliberali.

Taifa limejaa Mashoga kuliko matunda!

Leo hii Tel aviv imepewa Taji la Kuwa ni MJI MKUU WA MASHOGA DUNIANI.

Gonga hapa uone mashoga wa Taifa teule.
http://www.catholic.org/news/international/europe/story.php?id=51339

Hapo Kuna kitu kimebaki?

Baada ya miaka michache tu ya mbele Lile taifa litafanya kila raia WAKE lzm awe SHOGA!

Hapo ndipo we mkwesa utkapopakwa Rangi za midomo bila hiari.

ImageUploadedByJamiiForums1424511455.791470.jpg
Mkuu Bill Cosby apakwe rangi vipi wakati athari zake hizo hapo tunaziona kwenye madhabahu?
Teh teh teh waLiberali waKIHA tabu tupu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom