Kwanini Israel kaamua kuipuzia Yemen?

Kwanini Israel kaamua kuipuzia Yemen?

Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?
Hamas na Hizbollah imemkamata pabaya.
Huwezi ukaipuuzia Houthi akati Leo imelipua Kambi ndani ya Eilat na kuharibu miundombinu ya kijeshi ya IDF na USA.
Na ndio maana IDF waliongeza meli vita kuweka usalama pale Mediterranean maana houthi akirusha kombora kwanza must lipite Mediterranean.
 
M
Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?
Mfano uko geto unamkanda pisi kali uliyoizoea ghafra anatokea demu jirani Yako anagonga mlango hajuhi kama unamkanda mwenzie ndani je utamkaribisha ndani naye umkande au utampotezea umalizane na huyu wa kwanza Kisha baadae umtafute huyo mwingine?
 
Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?

Sio Yemen sema wapiganaji wa Houthi. Maana Yemen ipo vitani mpaka Leo, wangemaliza kwanza vita vyao.
 
Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?

Shida Israel akijibu mtakuja hapa kulalamika.
 
Israel kenda ishtaki Yemen eti UN 😄 hawezi kupigana na Yemen sababu wala mirungi wana silaha hatari sana we huoni hata Saud Arabia kaomba poa nao.

Afu Yemen hajawahi ingia vita akashindwa

Halafu hakuna Yemen kwa Sasa maana kwako ni vita , wale ni wapiganaji wa Houthi wanafahdiliwa na Iran. Hizbollahh na Houthi ndio wanarusha makombora Israel.
 
Back
Top Bottom