Kwanini Israel kaamua kuipuzia Yemen?

Kwanini Israel kaamua kuipuzia Yemen?

Sio Yemen sema wapiganaji wa Houthi. Maana Yemen ipo vitani mpaka Leo, wangemaliza kwanza vita vyao.
Acha uongo wewe.
Yemeni vita imeisha.
Houthi ndio iliyoanzisha vita na houthi ndio imemaliza vita.
Au kipindi Houthi,Iran na Saudia wakikaa mezani kumaliza migogoro Yemeni we hukujua??
 
Israel kenda ishtaki Yemen eti UN [emoji1] hawezi kupigana na Yemen sababu wala mirungi wana silaha hatari sana we huoni hata Saud Arabia kaomba poa nao.

Afu Yemen hajawahi ingia vita akashindwa

ivi unaijua hali ya yemeni watu wanakufa njaa na magonjwa kisa vita uiongezee na vita nyingine
 
Uchokozi wanaanza wao wakijibiwa kelele nyingi
Ninachofurahia Israel ikijibu inaua wagomvi mpaka warithi wa ugomvi. { Nikimaanisha inawaua mpaka wamama na watoto } ili kesho ule uzao washuhudie mauaji. Unawaua mpaka watoto wachanga, maana hawa ndio tatizo la kesho
 
Yemen ni mbu tu wanapiga kelele mtu ukilala.
Tukio moja tu wakipigwa wanalala maisha.
Juzi nimeskia US wamewakamata.
Hao ukikamata piga risasi,
vinginevyo watasema "alahu akubaru tumepigana na jeshi la Marekani na tumeshinda tunaenda kufungwa Marekani."
 
Yemen ni mbu tu wanapiga kelele mtu ukilala.
Tukio moja tu wakipigwa wanalala maisha.
Juzi nimeskia US wamewakamata.
Hao ukikamata piga risasi,
vinginevyo watasema "alahu akubaru tumepigana na jeshi la Marekani na tumeshinda tunaenda kufungwa Marekani."
Hujui lolote waloshikwa sio houthi ni wasomali watano pia yemen haihusiki na mashambulizi ni kundi la houthi ambalo baada ya vita linashikilia mji mkuu wa yemen sanaa na maeneo ya karibu na mji huo
 
Ukifanya vita na Yemen, itakua vita isioisha wenyewe kwa wenyewe wanatwangana kila siku, milio ya mtutu wa bunduki na mabomu kwao wanaona kama sound za amapiano au singeli, linapokuja suala la kufa ndio hawaogopi kabisa.
 
Back
Top Bottom