Kwanini Israel kaamua kuipuzia Yemen?

Kwanini Israel kaamua kuipuzia Yemen?

Huyo mzayuni anakula kipigo cha mbwa koko huko gaza. Usione anavunja majumba na kupiga raia. Mabwana zake wamagharibi wanekimbilia kumuokoa kenge huyo.
Ushujaa wa wapiganaji gaza utakuwa kwenye vitabu vya historia na itakua ni case study kwenye vyuo vya kijeshi duniani.
Lakini tatizo wakoloni waliwavuruga akili wengi hapa kwetu na kuwaacha na akili za kitumwa kiasi hawawezi kufahamu kuwa upande wa mpigania haki ndio sahihi.

Uzayuni hauna maisha marefu
 
Unajibu kwa hasira sana kaka hebu kunywa maji kwanza upoze koo
 
Yemed sio ukanda wa Gaza, Yemen ni nchi na inahistoria yake, population kubwa, nchi kubwa, vita mwanzo mwisho..Kama tu hayo mahandaki ya gaza..watu ambao wako chini ta embargo yao kwa miaka sasa..wanashindwa kuyamaliza, unafikiri wataweza kudeal na Yemen kirahisi???

Saudi Arabia akisaidiwa na West pamoja na US...wamehangaika sana hapo Yemen bila matunda, sembuse Israel peke yake, huku wengine wakimtamani?? Yemen ni kama Afghanistan kule na Taliban..huwezi shinda hata iweje..
 
UUsijidanganye Mzee Mashariki ya kati inawaka moto Iraq Anbar Kambi za US zimelipuliwa na Islamic resistance,Syria airbase ya USA imelipuliwa na Houthi karusha kombota Eilat .
Inamaanisha the escalation spreads. Vita inakua kubwa zaidi.
Porojo za redio mbao ya Manzese Kwa Mfuga Mbwa.
 
Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?
Yemen yenyewe inapigwa na Saudi Arabia.

Saudi Arabia (waislam) wanapiga na kuua wa Yemen (waislam).

Ila hutasikia watoto wa mnyaazi wakilalamika wala kulaani kwa sababu hapo myahudi hahusiki.
 
Yemen yenyewe inapigwa na Saudi Arabia.

Saudi Arabia (waislam) wanapiga na kuua wa Yemen (waislam).

Ila hutasikia watoto wa mnyaazi wakilalamika wala kulaani kwa sababu hapo myahudi hahusiki.
ACHA UONGO WE JAMAA.
SAUDIA NDIO ILOCHEZEA KICHAPO NA KUNDI LA HOUTHI KWA KUMTETEA MANSOUR KIONGOZI ASIYETAKIWA NA YEMEN.
VITA KATI YA SAUDIA NA HOUTHI ILISABABISHA HASARA YA MAFUTA ZAIDI YA MAMILIONI YA LITA KWA SAUDI ARABIA.
 
🚨BREAKING: ISRAEL CALLS FOR A GREATER ATTACK ON HEZBOLLAH AMID SERIOUS ESCALATIONS

Israelis on social media are calling for a far more serious military response to today’s large-scale Hezbollah attack on the Biranit army base on Israel’s northern border.

The base sustained heavy damage after being hit by mortars, missiles and suicide drones.

This comes after Israel struck the home of a Hezbollah-allied Lebanese MP, among the heaviest clashes since the war began.

My level of concern this war will escalate to Lebanon has just spiked (still below 50%, but close).

Source: Israel Today
 
Yemen yenyewe inapigwa na Saudi Arabia.

Saudi Arabia (waislam) wanapiga na kuua wa Yemen (waislam).

Ila hutasikia watoto wa mnyaazi wakilalamika wala kulaani kwa sababu hapo myahudi hahusiki.
Pia usitudanganye hapa nenda kaifuatilie vizuri vita kati ya Houthi na Saudi Arabia.
Saudi Arabia ilipata hasara sana katika oil plant kwa kushambuliwa na Houthi.
Pia hata walivyofanya Ground invasion Yemeni Saudia walipewa kichapo na houthi wakabaki tu kurusha makombora kuharibu miundombinu ya Yemen.

View: https://youtu.be/_n19T6IS2GA?si=mIhNqneHaJBeNGtj

Tizama hizo silaha Houthi sio hamas
 
Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?
Kwa kitendo cha kutekewa meli Yao ya mizigo wata react tu.
Kinachowabana Kuna Hizbollah anawasumbua .
Pia anashindwa kureact maana Yemeni Iko mbali sana na yeye.
 
Pia usitudanganye hapa nenda kaifuatilie vizuri vita kati ya Houthi na Saudi Arabia.
Saudi Arabia ilipata hasara sana katika oil plant kwa kushambuliwa na Houthi.
Pia hata walivyofanya Ground invasion Yemeni Saudia walipewa kichapo na houthi wakabaki tu kurusha makombora kuharibu miundombinu ya Yemen.

View: https://youtu.be/_n19T6IS2GA?si=mIhNqneHaJBeNGtj

Tizama hizo silaha Houthi sio hamas

Siku zote ukiona watu wenye kupenda kuonyesha silaha ujue hawana lolote ni mbwembwe tu.
 
Yemen bni failed state, Hana hata WA kupigana nae maana imegawanyika mapamde
 
Hamas na Hizbollah imemkamata pabaya.
Huwezi ukaipuuzia Houthi akati Leo imelipua Kambi ndani ya Eilat na kuharibu miundombinu ya kijeshi ya IDF na USA.
Na ndio maana IDF waliongeza meli vita kuweka usalama pale Mediterranean maana houthi akirusha kombora kwanza must lipite Mediterranean.
Hawa irael Wana akili nyingi
 
Nimeona waasi kutoka Yemen wamekuwa wakileta chokochoko sana kwa kurusha makombola ndani ya Israel lakini sioni Israel iki react juu ya jambo hilo, je wameamua kupuuza au Hamas kawakamata vibaya?
Hizbollah wakishapokea kipigo itakuwa zamu Yao bila shaka
 
Yemeni ni kama Somali tuu
Yemeni sasa hivi Haina vita migogoro imeisha.
Biashara zimeanza kurudi na harakati zingine za kiuchumi zimeanza kurejea.
Huwezi fananisha Yemeni na Somalia.
Yemeni Ina jeshi Moja tu linalosimamiwa na houthi na hakuna vurugu za mara kwa mara kama Somalia.
Tatizo lilikua Mansour na Mansour kaondolewa life goes on Yemen.
Soon watakua na uchumi mkubwa kuliko hata sisi Tanzania wenye siasa za kuchumia tumbo.
 
Back
Top Bottom