Kwanini iwe Watanzania vs Wakenya na si vinginevyo?


Sababu ni kua Kenya na tanzania tunaelekeana vitu vingi

Lugha kiswahili
Uchumi una karibiana
Ukubwa wa ardhi

Hapa hatuwezi kujiringanisha na mikoa kama rwanda na burundi ??? wenye GDP ya single digit
au na failed state kama somalia??

Uganda ndio atleast inaweza ingia kwenye hii game! ila ndo inajiona nyonge

kwanza imeji isolate
Hawajui kiswahili
Masikini
Na hawana tumaini la kuipiku nchi hata moja kat ya hizo mbili



Lakini mwisho ni democrasia
Uganda na rwanda ni nchi za kidikteta wataongea nini hapa nchi zimemilikiwa na koo au mtu mmoja itakua ni humiliation
 

mkuu nadhani huelewi maana ya fedha kuwa na thamani zaidi ya nyingine

Paund na Euro zina thaman zaidi ya Yuan ya china lakini China ndio Nchi yenye uchumi na kila kitu kikubwa zaidi ya Britain au nchi yyte ya ulaya

Uchumi haulinganishwi hivo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Acha utoto hizo value zinaweza kuwa regulated kutokana na ambition za nchi husika
 
Mwambie aelewi uyo
 
Halafu muongezee KSh na Japanese Yen ni almost zipo sawa je utajiri wa Kenya ni sawa na Japan
 
Tukisema hii nchi imejaa vilaza, ni kuanzia chini mitaani mpaka juu huko serikalini
Yaani unakuja na mfano wa vijiweni, eti china ina uchumi wa kushinda nchi za ulaya, china ni karakana ya nchi za ulaya, kwa hiyo hiyo yuan lazima iwe chini ili kurahisisha hali bora ya maisha ya watu ulaya.




Turudi kuhusu Kenya, hivi huwa mnajtoa akili na kujizima data kabisa, duh!
Hivyo hivyo na nyinyi hela yenu lazima iwe chini kuwarahisishia Kenya kununua bidhaa za Tanzania kwa bei ya bure na Kenya kuwauzia zao kwa bei kubwa.....

 

Master tumia akili kidogo,kama utofauti wa value ya pesa ndio tofauti ya maisha basi kenya na japan life lao 1 maana pesa zao zina value sawa
 
Top 10 ya nchi za kiafrika zenye pesa yenye thamani kenya haipo,shida iliyopo TZ kuanzia uko kwenye uongozi aujitangazi na wala kutangaza ukubwa wetu,hata hiyo gdp ya kenya na yetu ukiangalia miradi kama ya sgr na bwawa la nyerere TZ tushawapita kenya kwa gdp au tuko sawa,viongozi wamelala sana wanashindwa kujitangaza
 
Tunajifariji,
sababu wakenya wametupita mbali, kwahiyo masikini tunapenda kujua habari za tajiri....
Pambafu sanaa
Wewe ni mtumwa wa akili
Naona mnamshambulia member huyu teknocrat, ukweli ni kwamba hoja yake ina mashiko kwa kiasi fulani.. Ni ukweli usiopingika kwamba Kenya iko mbali sana kimaendeleo kuliko Tz na hata nchi zingine zote za ukanda huu wa Afrika ya Mashariki na Kati.
Ukweli mchungu huwa una kawaida ya kuchoma roho sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…