Kwanini iwe Watanzania vs Wakenya na si vinginevyo?

Kwanini iwe Watanzania vs Wakenya na si vinginevyo?

They have got a lot of things we can learn from them . Kenya is the leading country in East Africa in term of technology and infrastructure . Apart from that the country is among of the most electrified countries in Africa where by 98% of the country has access to electricity something that is still a debate in Tanzania .
 
Kipindi cha moi alijenga sera hiyo kwenye vichwa vya wakenya na sasa ni vizazi na vizazi vya kikenya vinaamini hivyo,kwa upande tumejengwa kwa kutojikubali na kujidharau ndio maana mtanzania akiingia kenya anashangaa ile kenya aliyoaminishwa jinsi ilivyozungukwa na maslum na wezi kila kona,hamna nchi yenye upotaji eac kama kenya,na ndivyo ilivyo kwa wakenya wameamimishwa TZ ni nchi maskini sana ila siku akiingia TZ anashangaa kukuta vile alivyoaminishwa
Tanzania is rich in-term of natural resources compared to Kenya. So we would expect Tanzania to be more developed than Kenya economically but now it is vice- versa .So they look down on us because we have failed to utilize all these resources that we have been blessed up with to build up our country . I dont blame them for insulting us
 
Mkuu ,me naeza sema ni upendo Kati yetu ,tusipotania tunaona kama tunaboeka,ww hujasikia Ile statement ""jirani Hana unga ,Hana stima anaongea kingereza kwenye Giza"".yaani kati ya watz wote mama Tu ndio ametuweza.[emoji1787]
 
Kenya ni nchi yenye maskini kuliko Tanzania. 90% ya wakenya hawana uwezo wa kumiliki ardhi. Wakati waTanzania 90 wanamiliki ardhi japo ndogo iwe kwa kununua mwenyewe ama kwa kuridhi.
Kenya ndio nchi watu wake wanaongoza kwa kula mboga za majani, hawana tofauti na mbuzi. Hawana uwezo wa kula nyama.
Ndio nchi inayoongoza kwa viwanda vyake kuwa na packege za ajabuajabu. Usishangae kukuta blue band gmm 20. Sukati ya gmm 15 nk.
Yapo mengi ngoja niishie hapa.
 
Mkuu kutokana na statement yako unamachungu ya kuwa mkenya lakini nafasi Hamna kwaiyo pole Sana mkuu .labda tz wakubali uraia Pacha ili upate nafasi ya kuwa mkenya,sio vizuri jirani kuteseka ivi.
 
Tanzania na Kenya tunafanana zaidi kuliko Tanzania na uganda au na Rwanda na hao wengine, kuanzia lugha, vyakula, tamaduni, ufisadi serikalini (refer safari za viongozi wa nch nje ya nchi, hapa ila Kenya katupita mbali sanaaa)
Sahihi, Tunatofautiana katika Kenya kutuzidi lugha ya Kingereza na sisi kubaki nchi ya chama kimoja tangu uhuru,
 
Back
Top Bottom