Kwanini iwe Watanzania vs Wakenya na si vinginevyo?

Kwanini iwe Watanzania vs Wakenya na si vinginevyo?

Kenya ni waswahili wenzetu,tukiongea tunaelewana,unaweza vuka mpaka wa pale Namanga ukamkuta mkulima upande wa Kenya na ukamsalimia mambo vipi akajibu poa tu,ukahisi upo Tanzania kumbe ushavuka mpaka,
Fanya hivyo kwa Uganda au Rwanda
 
Naona mnamshambulia member huyu teknocrat, ukweli ni kwamba hoja yake ina mashiko kwa kiasi fulani.. Ni ukweli usiopingika kwamba Kenya iko mbali sana kimaendeleo kuliko Tz na hata nchi zingine zote za ukanda huu wa Afrika ya Mashariki na Kati.
Ukweli mchungu huwa una kawaida ya kuchoma roho sana.

Hivi hizi kampuni ni wajinga sana mpaka wameenda Kenya kufungua ofisi zao badala Tanzania?
Na hizi ni baadhi tu, orodha ni ndefu mno....

Hivi hizi kampuni ni wajinga sana mpaka wameenda Kenya kufungua ofisi zao badala Tanzania?
Na hizi ni baadhi tu, orodha ni ndefu mno....

Hakuna mtu yeyote yule mwenye akili zake timamu ambaye anapenda kwenda kuwekeza au kuishi kwenye nchi yenye utawala wa kidikteta, hayupo kabisa.
 
Humu jukwaani, kunapotokea ubishi wenye mwelekeo wa "Kimataifa", utaukuta ni baina ya Mkenya na Mtanzania.

Lakini inafahamika kuwa Jumuia ya Afrika Mashariki ina nchi kadhaa zaidi ya Kenya na Tanzania. Kwa nini ubishani wa kiutani uwe ni kati ya Mkenya na Mtanzania na siyo na Mtanzania na raia wa nchi zingine za East Africa?

Je! Inaweza ikawa,

1. Watanzania wanawahusudu Wakenya?

2. Wakenya wanawahusudu Watanzania?

3. Kwa sababu lugha kuu inayotumika humu jukwaani ni Kiswahili, lugha inayoongelewa zaidi Tanzania na Kenya?

4. Watanzania wanawaamini zaidi Wakenya kuliko wana Afrika Mashariki wengine?

5. Watanzania na Wakenya wana uasili wa karibu zaidi kuliko wengine?

Kwa nini imekuwa hivyo?
Tanzania na Kenya tunapakana kwa mpaka mrefu sana, hii ina maana tunamwingiliano wa kijamii mkubwa sana. Kwa miaka mingi Kenya imekuwa na uchumi mkubwa sana kwa pande hizi za Afrika Mashariki. Bajeti ya Kenya ni karibu 1.5 ya bajeti ya Tanzania. Hizi nchi mbili zilikuwa zinapampanishwa kwa sababu zilifuata mirengo ya siasa tofauti, Kenya ilifuata biashara huria na Tanzania ilifuata mfumo wa serikali kuu kufanya biashara kwa niaba ya wananchi. Baada ya Tz kukumbatia mfumo wa biashara, pole pole Tanzania ilianza kuamka na kuanza kuifukuzia Kenya, kumbuka Tz ina uchumi wa pili mkubwa katika kanda hii ya Africa Mashariki
 
Because in all East Africa Countries , Kenyans are the only one who can understand and respond to us well by using swahili language nothing else , It's time now we Tanzania should accept the Truth that Kenya is ahead of us in so many aspect and they make us relevant , we should learn from them period .
 
aspect=aspects. Si uandike kwa Kiswahili tu; kwani unafikiri utaonekana mjinga?😎
 
Because in all East Africa Countries , Kenyans are the only one who can understand and respond to us well by using swahili language nothing else , It's time now we Tanzania should accept the Truth that Kenya is ahead of us in so many aspect and they make us relevant , we should learn from them period .
ni jambo gani kwa sasa utajifunza kenya weka hapa kwa mfano hata kwenye engo ya uongozi weka tuone. Ishakuwa falled state kwa sasa kilichokuwepo hapa katikati ni mfumo wa mbwa na paka yaani ukomunist na ubepari ndicho wakubwa walikijenga kutofautisha haya mataifa by then hamna kitu anatushinda kama ni chakula tunawalisha n.k.
 
Because in all East Africa Countries , Kenyans are the only one who can understand and respond to us well by using swahili language nothing else , It's time now we Tanzania should accept the Truth that Kenya is ahead of us in so many aspect and they make us relevant , we should learn from them period .
Kipindi cha moi alijenga sera hiyo kwenye vichwa vya wakenya na sasa ni vizazi na vizazi vya kikenya vinaamini hivyo,kwa upande tumejengwa kwa kutojikubali na kujidharau ndio maana mtanzania akiingia kenya anashangaa ile kenya aliyoaminishwa jinsi ilivyozungukwa na maslum na wezi kila kona,hamna nchi yenye upotaji eac kama kenya,na ndivyo ilivyo kwa wakenya wameamimishwa TZ ni nchi maskini sana ila siku akiingia TZ anashangaa kukuta vile alivyoaminishwa
 
Back
Top Bottom