Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Naona mnamshambulia member huyu teknocrat, ukweli ni kwamba hoja yake ina mashiko kwa kiasi fulani.. Ni ukweli usiopingika kwamba Kenya iko mbali sana kimaendeleo kuliko Tz na hata nchi zingine zote za ukanda huu wa Afrika ya Mashariki na Kati.
Ukweli mchungu huwa una kawaida ya kuchoma roho sana.
Hakuna mtu yeyote yule mwenye akili zake timamu ambaye anapenda kwenda kuwekeza au kuishi kwenye nchi yenye utawala wa kidikteta, hayupo kabisa.Hivi hizi kampuni ni wajinga sana mpaka wameenda Kenya kufungua ofisi zao badala Tanzania?
Na hizi ni baadhi tu, orodha ni ndefu mno....
Google opens first innovation hub in Africa
Google has launched its first product development center in Africa, joining the growing list of tech giants setting up innovations hub in Nairobi.techcrunch.com
Microsoft Store Kenya Official Site
Shop for the latest software directly from the Microsoft Store. Experience the best of Microsoft with easy online shopping.www.microsoft.com
Cisco Inaugurates East African Headquarters in Nairobi
New Offices to Help Countries Develop ICT Strategies for Business Productivity, Growth and Social Inclusion <br /><br /> Cisco's East African Headquarters to Become Key Strategic Hub to Serve Sub-Saharan African Marketnewsroom.cisco.com
Intel Corp makes Kenya its regional EA hub
NAIROBI, Kenya, Jul 19 - Intel Corporation has made Kenya its regional hub for East Africa, and announced key appointments including a regional head and Kenya breaking news | Kenya news today |www.capitalfm.co.ke
Hali ya uchumi wa kenya ni sawa na uchumi wa bongoKwani kuna tofauti gani?
Kwani kuna tofauti gani?
Nchi inayoshindwa hata kulipa mishahara wafanyakazi wake???? Kenye ilikua mbali miaka 7 - 9 iliyopita kwa sasa kenya walichotushinda labda ni ufasaha wa kuzungumza lugha ya kiingerezaTunajifariji,
sababu wakenya wametupita mbali, kwahiyo masikini tunapenda kujua habari za tajiri....
Eti miaka hii bado kuna watu kama akina Teknocrat wanaogopeshwa na Kenya, ha ha ha😎Nchi inayoshindwa hata kulipa mishahara wafanyakazi wake???? Kenye ilikua mbali miaka 7 - 9 iliyopita kwa sasa kenya walichotushinda labda ni ufasaha wa kuzungumza lugha ya kiingereza
InashangazaEti miaka hii bado kuna watu kama akina Teknocrat wanaogopeshwa na Kenya, ha ha ha😎
Ona huyu mtu......lazima utakuwa Bav^. Hamjui ku appreciate hata kidogo tulichonacho kazi yenu kuponda na kujipondaTunajifariji,
sababu wakenya wametupita mbali, kwahiyo masikini tunapenda kujua habari za tajiri....
Tanzania na Kenya tunafanana zaidi kuliko Tanzania na uganda au na Rwanda na hao wengine, kuanzia lugha, vyakula, tamaduni, ufisadi serikalini (refer safari za viongozi wa nch nje ya nchi, hapa ila Kenya katupita mbali sanaaa)
Wewe ni mtumwa wa akili
Kenya ndio Kaka Mkubwa katika ukanda huu.
Pambafu sanaa
Tanzania na Kenya tunapakana kwa mpaka mrefu sana, hii ina maana tunamwingiliano wa kijamii mkubwa sana. Kwa miaka mingi Kenya imekuwa na uchumi mkubwa sana kwa pande hizi za Afrika Mashariki. Bajeti ya Kenya ni karibu 1.5 ya bajeti ya Tanzania. Hizi nchi mbili zilikuwa zinapampanishwa kwa sababu zilifuata mirengo ya siasa tofauti, Kenya ilifuata biashara huria na Tanzania ilifuata mfumo wa serikali kuu kufanya biashara kwa niaba ya wananchi. Baada ya Tz kukumbatia mfumo wa biashara, pole pole Tanzania ilianza kuamka na kuanza kuifukuzia Kenya, kumbuka Tz ina uchumi wa pili mkubwa katika kanda hii ya Africa MasharikiHumu jukwaani, kunapotokea ubishi wenye mwelekeo wa "Kimataifa", utaukuta ni baina ya Mkenya na Mtanzania.
Lakini inafahamika kuwa Jumuia ya Afrika Mashariki ina nchi kadhaa zaidi ya Kenya na Tanzania. Kwa nini ubishani wa kiutani uwe ni kati ya Mkenya na Mtanzania na siyo na Mtanzania na raia wa nchi zingine za East Africa?
Je! Inaweza ikawa,
1. Watanzania wanawahusudu Wakenya?
2. Wakenya wanawahusudu Watanzania?
3. Kwa sababu lugha kuu inayotumika humu jukwaani ni Kiswahili, lugha inayoongelewa zaidi Tanzania na Kenya?
4. Watanzania wanawaamini zaidi Wakenya kuliko wana Afrika Mashariki wengine?
5. Watanzania na Wakenya wana uasili wa karibu zaidi kuliko wengine?
Kwa nini imekuwa hivyo?
Hakuna cha mihemko wala nini.Msijibu kwa mihemko...
aspect=aspects. Si uandike kwa Kiswahili tu; kwani unafikiri utaonekana mjinga?😎Because in all East Africa Countries , Kenyans are the only one who can understand and respond to us well by using swahili language nothing else , It's time now we Tanzania should accept the Truth that Kenya is ahead of us in so many aspect and they make us relevant , we should learn from them period .
Leta data za kulinganisha uchumi ?
Mbona unaruka mistari?Hakuna cha mihemko wala nini.
ni jambo gani kwa sasa utajifunza kenya weka hapa kwa mfano hata kwenye engo ya uongozi weka tuone. Ishakuwa falled state kwa sasa kilichokuwepo hapa katikati ni mfumo wa mbwa na paka yaani ukomunist na ubepari ndicho wakubwa walikijenga kutofautisha haya mataifa by then hamna kitu anatushinda kama ni chakula tunawalisha n.k.Because in all East Africa Countries , Kenyans are the only one who can understand and respond to us well by using swahili language nothing else , It's time now we Tanzania should accept the Truth that Kenya is ahead of us in so many aspect and they make us relevant , we should learn from them period .
Nenda Google au YouTube zimejaa tele😎...ulete data!
Kipindi cha moi alijenga sera hiyo kwenye vichwa vya wakenya na sasa ni vizazi na vizazi vya kikenya vinaamini hivyo,kwa upande tumejengwa kwa kutojikubali na kujidharau ndio maana mtanzania akiingia kenya anashangaa ile kenya aliyoaminishwa jinsi ilivyozungukwa na maslum na wezi kila kona,hamna nchi yenye upotaji eac kama kenya,na ndivyo ilivyo kwa wakenya wameamimishwa TZ ni nchi maskini sana ila siku akiingia TZ anashangaa kukuta vile alivyoaminishwaBecause in all East Africa Countries , Kenyans are the only one who can understand and respond to us well by using swahili language nothing else , It's time now we Tanzania should accept the Truth that Kenya is ahead of us in so many aspect and they make us relevant , we should learn from them period .
Umetumia kipimo gani kwamba wananchi wake ni mbulula?Haibadilishi kitu
Li nchi kubwa jinga... na wananchi wake mambulula....wenye ushamba mwingi....