Tanzania is rich in-term of natural resources compared to Kenya. So we would expect Tanzania to be more developed than Kenya economically but now it is vice- versa .So they look down on us because we have failed to utilize all these resources that we have been blessed up with to build up our country . I dont blame them for insulting usKipindi cha moi alijenga sera hiyo kwenye vichwa vya wakenya na sasa ni vizazi na vizazi vya kikenya vinaamini hivyo,kwa upande tumejengwa kwa kutojikubali na kujidharau ndio maana mtanzania akiingia kenya anashangaa ile kenya aliyoaminishwa jinsi ilivyozungukwa na maslum na wezi kila kona,hamna nchi yenye upotaji eac kama kenya,na ndivyo ilivyo kwa wakenya wameamimishwa TZ ni nchi maskini sana ila siku akiingia TZ anashangaa kukuta vile alivyoaminishwa
la hasha. wacha kupotoshaHali ya uchumi wa kenya ni sawa na uchumi wa bongo
Wamaanisha nini umeangalia takwimu za world bank?la hasha. wacha kupotosha
Mkuu kutokana na statement yako unamachungu ya kuwa mkenya lakini nafasi Hamna kwaiyo pole Sana mkuu .labda tz wakubali uraia Pacha ili upate nafasi ya kuwa mkenya,sio vizuri jirani kuteseka ivi.Kenya ni nchi yenye maskini kuliko Tanzania. 90% ya wakenya hawana uwezo wa kumiliki ardhi. Wakati waTanzania 90 wanamiliki ardhi japo ndogo iwe kwa kununua mwenyewe ama kwa kuridhi.
Kenya ndio nchi watu wake wanaongoza kwa kula mboga za majani, hawana tofauti na mbuzi. Hawana uwezo wa kula nyama.
Ndio nchi inayoongoza kwa viwanda vyake kuwa na packege za ajabuajabu. Usishangae kukuta blue band gmm 20. Sukati ya gmm 15 nk.
Yapo mengi ngoja niishie hapa.
Wakenya wakienda kufua chupi saudi Arabia wanajiona matajiriHalafu muongezee KSh na Japanese Yen ni almost zipo sawa je utajiri wa Kenya ni sawa na Japan
Sahihi, Tunatofautiana katika Kenya kutuzidi lugha ya Kingereza na sisi kubaki nchi ya chama kimoja tangu uhuru,Tanzania na Kenya tunafanana zaidi kuliko Tanzania na uganda au na Rwanda na hao wengine, kuanzia lugha, vyakula, tamaduni, ufisadi serikalini (refer safari za viongozi wa nch nje ya nchi, hapa ila Kenya katupita mbali sanaaa)
Ongeza jamaa wamecharangana mapanga pia; kwa ajili ya ukabila uliokithiri.Sahihi, Tunatofautiana katika Kenya kutuzidi lugha ya Kingereza na sisi kubaki nchi ya chama kimoja tangu uhuru,