Wababa13
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 105
- 70
Habari za leo ndugu, jamaa na marafiki.
Leo nimewaza nimeona ni vema niwashirikishe na nyie.. hapo aliposimama Jaji Mkuu binafsi huwa namuonaga Rais wa nchi peke yake, hata Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Katibu Mkuu kiongozi kwa upande wangu sijawahi kuwaona hapo (sijui inaitajwe iyo sehemu).
Lakini cha kunishangaza namuona Jaji Mkuu akihutubia sehemu maalum ambayo ipo kwa ajili ya Rais wa nchi.
Naomba ufafanuzi katika hili