Kwanini Jakaya Kikwete atumie nguvu kubwa kuwatetea mawaziri waliotajwa na Chalamila?

`1. Mahenda Leonard 845

2. Bashungwa Innocent 720

3. Wasira Steven 680

4. Msome Jackson William 591

5. Kasheku Msukuma 587

6. Kasesela Richard 574

7. Wambura Chacha Mwita 545

8. Bashe Hussein 510

9. Nnauye Nape Mosses 508

10. Gwajima Josephat 497

11. January Makamba 452

12. Mwigulu Nchemba 450

13. Macha 435

14. Msengi Ibrahimu 428``
Katika top ten kanda ile wapo nane Yaani nimemtoa Bashe!

Yaani aiseh!!!
 
Na mama katepeta hashtuki wala hajiongezi ni sawa na mbuzi amfuata chatu hajui kuwa ni hatari.
Emanueli misalaba ameandika hivi : Samia+January +Mwigulu = JK , sasa hapo inakuwaje ??
 
Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025.

Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande mmoja tu wa mtoa kauli Mh Albert Chalamila hadi kuagiza achukuliwe hatua na Chama na sio wale waliotajwa na RC Chalamila kuhusika na njama za kumhujumu Rais aliyeko madakarani.

Je, Mheshimiwa Mstaafu Jakaya Kikwete kwanini atumie nguvu kubwa kukanusha kuwepo kwa mawaziri wanao tafuta fedha na mikopo nje ya nchi kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi wa mwaka 2025 na kumbwaga Rais aliyeko madarakani Mama yetu Samia Suluhu Hassan.

Kumbe chalamila alifungulia bomba la maji taka
 
Inafikirisha pia,

Bt wewe Saidoo, unaamini MATOKEO hayo?

Mbona waliomkataa mkt wananongona ni zaidi ya mmoja???
Wajumbe wako mbioni kueleza kila kitu kilichotokea kwa kina Makamba na Nape muda utaongea
 
Yawezakuwa Plan ilikuwa ni kumkataa mkt sie tulio nje tujuzwe.

Yajayo nanafurahisha, kama tu ni Kwa Maslahi mapana ya nchi.

Aamen
 
Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025.

Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande mmoja tu wa mtoa kauli Mh Albert Chalamila hadi kuagiza achukuliwe hatua na Chama na sio wale waliotajwa na RC Chalamila kuhusika na njama za kumhujumu Rais aliyeko madakarani.

Je, Mheshimiwa Mstaafu Jakaya Kikwete kwanini atumie nguvu kubwa kukanusha kuwepo kwa mawaziri wanao tafuta fedha na mikopo nje ya nchi kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi wa mwaka 2025 na kumbwaga Rais aliyeko madarakani Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Samia naamini ana akili kujua hilo na nadhani Ile kauli ya hawa kijani wenzio ndio uwaogope ishatimia kitambo sana, tatizo Rais kuwa mzanzibari na mwenye upembapemba na pro waarabu sana ndio shida hapa, angalia deni la taifa linapaa Kwa hio hofu ni kubwa sana
 
Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025.

Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande mmoja tu wa mtoa kauli Mh Albert Chalamila hadi kuagiza achukuliwe hatua na Chama na sio wale waliotajwa na RC Chalamila kuhusika na njama za kumhujumu Rais aliyeko madakarani.

Je, Mheshimiwa Mstaafu Jakaya Kikwete kwanini atumie nguvu kubwa kukanusha kuwepo kwa mawaziri wanao tafuta fedha na mikopo nje ya nchi kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi wa mwaka 2025 na kumbwaga Rais aliyeko madarakani Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Hujaelewa nini, maana yake ule ulikuwa uzushi. Wewe unawajua hao mawaziri? Acha kushikia kidedea uzushi.
 
Hivi nani alimkata mkia mtoto pendwa R. Mchengewa?

Wajumbe zamu hii walijipanga!!!
Mi mwenyewe nilishangaa Sana!jamaa ali peform Sana kwenye ile wizara!

Halafu ghafla tu akapotea hadi akaundiwa wizara mpya!

LABDA aliingizwa mkenge ishu ya DJ government ikachafuka KWA Court !!!nasikia ukiwa kwenye ile wizara pia unakuwa Bos wa TISS pia Yaani hata Yule mpare Anakuwa chini yake sasa SIJUI nini kilitokea!

Mkwe kichwa kililiwa!!
 
Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande mmoja tu wa mtoa kauli Mh Albert Chalamila hadi kuagiza achukuliwe hatua na Chama na sio wale waliotajwa na RC Chalamila kuhusika na njama za kumhujumu Rais aliyeko madakarani.
Anayejua mbinu zote za kuweka na kuwang'oa marais peacefully or the other way round ni yeye, Chalamila asibezwe
 
Back
Top Bottom