Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Katika top ten kanda ile wapo nane Yaani nimemtoa Bashe!`1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428``
Kwa maslahi ya Taifa wapo wanaouangalia mtanange sio mhe SSH pekeeNi vija wake hao anawandaaa kushika usukani, kazi hipo kwa SHS ataweza kuwazuia.
Emanueli misalaba ameandika hivi : Samia+January +Mwigulu = JK , sasa hapo inakuwaje ??Na mama katepeta hashtuki wala hajiongezi ni sawa na mbuzi amfuata chatu hajui kuwa ni hatari.
Wenyewe wanakula jodari na kolekole wala khabari hawana !! Wanasemaga kelele za Chura hazimzuwi Ng’ombe kudrink water !!Tutafika 2025 tukiwa tumechoka sana
Usisahau pia kuwa Zitto, KAMBA na KJ ni marafiki wakubwa.JK yupo na January kwa nguvu kubwa sn
Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025.
Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande mmoja tu wa mtoa kauli Mh Albert Chalamila hadi kuagiza achukuliwe hatua na Chama na sio wale waliotajwa na RC Chalamila kuhusika na njama za kumhujumu Rais aliyeko madakarani.
Je, Mheshimiwa Mstaafu Jakaya Kikwete kwanini atumie nguvu kubwa kukanusha kuwepo kwa mawaziri wanao tafuta fedha na mikopo nje ya nchi kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi wa mwaka 2025 na kumbwaga Rais aliyeko madarakani Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Inafikirisha pia,Kama ndivyo kwanini Mkutano Mkuu wenye wajumbe 1915 walimpa kura za ndio ni 452 tu huku wajumbe 1,463 wakimkataa. na ukumbuke mkutano mkuu huo huo ndio unaoipitisha jina la mgombea wa urais wa CCM.
Yawezakuwa Plan ilikuwa ni kumkataa mkt sie tulio nje tujuzwe.Wajumbe wako mbioni kueleza kila kitu kilichotokea kwa kina Makamba na Nape muda utaongea
LABDA LABDAWajumbe wako mbioni kueleza kila kitu kilichotokea kwa kina Makamba na Nape muda utaongea
Marafiki na wadini sanaUsisahau pia kuwa Zittow, KAMBA na KJ ni marafiki wakubwa.
Hutowasikia wanaongelea matatizo ya Umeme nchini.
Samia naamini ana akili kujua hilo na nadhani Ile kauli ya hawa kijani wenzio ndio uwaogope ishatimia kitambo sana, tatizo Rais kuwa mzanzibari na mwenye upembapemba na pro waarabu sana ndio shida hapa, angalia deni la taifa linapaa Kwa hio hofu ni kubwa sanaBado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025.
Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande mmoja tu wa mtoa kauli Mh Albert Chalamila hadi kuagiza achukuliwe hatua na Chama na sio wale waliotajwa na RC Chalamila kuhusika na njama za kumhujumu Rais aliyeko madakarani.
Je, Mheshimiwa Mstaafu Jakaya Kikwete kwanini atumie nguvu kubwa kukanusha kuwepo kwa mawaziri wanao tafuta fedha na mikopo nje ya nchi kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi wa mwaka 2025 na kumbwaga Rais aliyeko madarakani Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Hujaelewa nini, maana yake ule ulikuwa uzushi. Wewe unawajua hao mawaziri? Acha kushikia kidedea uzushi.Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025.
Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande mmoja tu wa mtoa kauli Mh Albert Chalamila hadi kuagiza achukuliwe hatua na Chama na sio wale waliotajwa na RC Chalamila kuhusika na njama za kumhujumu Rais aliyeko madakarani.
Je, Mheshimiwa Mstaafu Jakaya Kikwete kwanini atumie nguvu kubwa kukanusha kuwepo kwa mawaziri wanao tafuta fedha na mikopo nje ya nchi kwa ajili ya kufanikisha uchaguzi wa mwaka 2025 na kumbwaga Rais aliyeko madarakani Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Hivi nani alimkata mkia mtoto pendwa R. Mchengewa?LABDA LABDA
0101 waliamua kumkata nyoka kichwa mapema Ili asije kutoroka Hadi kitalani!
Mi mwenyewe nilishangaa Sana!jamaa ali peform Sana kwenye ile wizara!Hivi nani alimkata mkia mtoto pendwa R. Mchengewa?
Wajumbe zamu hii walijipanga!!!
Anayejua mbinu zote za kuweka na kuwang'oa marais peacefully or the other way round ni yeye, Chalamila asibezweSwali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande mmoja tu wa mtoa kauli Mh Albert Chalamila hadi kuagiza achukuliwe hatua na Chama na sio wale waliotajwa na RC Chalamila kuhusika na njama za kumhujumu Rais aliyeko madakarani.
Watu wamelifika kwa kukatika umeme watampendaje sasa mkata umemeNadhani
Matokeo ya NEC yalimpa mshituko hivyo akajaribu kuwatetea vijana wake wasije wakapotea kwenye siasa!