Kwanini jamii inapenda kumhukumu mwanamke negatively kwenye Sekta ya Mahusiano? Utasikia yule mdada amefuata pesa tu kwa yule mwanaume

Kwanini jamii inapenda kumhukumu mwanamke negatively kwenye Sekta ya Mahusiano? Utasikia yule mdada amefuata pesa tu kwa yule mwanaume

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,425
Hii kitu sijai-notice Mara moja ,nime-notice mara nyingi sana, utakuta unapiga story na baba mkubwa, anakwambia yule mke wa mdogo wangu anachosubiria ni pensheni tu ya mdogo wangu wa kiume.

Au mkaka in his early 30's akioa, utaskia mama MTU mzima akisema, huyo mdada ameolewa kwasababu anataka nyumba ya yule mkaka.

Utakuta mwanaume ana-date na Mwanamke, halafu ndugu wa mwanaume wanaanza kusema kuwa huyu Mwanamke kaja kufuata pesa tu kwa kaka yetu

Na matukio meengi mengine yanayofanana na hayo.

Watu wa nje wanajuaje kuwa alichofuata huyo Mwanamke kwenye mahusiano ni pesa, wakati wao hawako ndani ya hayo mahusiano?
 
Kama ni kweli anazo basi wanaona atafaidi sana, moja kwa moja kwenye akili zao wanaona ndo alichofata kwenye hayo mahusiano.
 
Huwa ni tamaa, wanatamani wait ndo wapate hiyo nafasi au wanaona Kama anawazibia ili wasipate chochote kutoka kwa ndugu yao.
 
Back
Top Bottom