AICC & Chuo cha Diplomasia.Sasa hapo MFA atavunja vunja bodi za Kitu gani?
Kwani ofisi yake..yaani we unakaribishwa kwenye nyumba kusha unafukuza uliowakuta..kwanini usikae nao uangalie gaps.Working with people he will feel comfortable with.
Wagalatia mna chuki na huyo kijana,alivunja masanamu yenu mnayoyasujudia au?? Kaondoka sasa wizara ya umeme tuone umeme usikatike kkenge nyieKwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi?
Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini?
Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
mama yangu yupi? Yeye kaiga kama mteule wake afanyavyoKwani ofisi yake..yaani we unakaribishwa kwenye nyumba kusha unafukuza uliowakuta..kwanini usikae nao uangalie gaps.
Naona hata mama yenu alipoingia tu kesho yake kapangua na kuwatoa. Sasa nchi nzima hali tete.. sio umeme, sio tamisemi, sio maji, sio afya, sio elimu.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Umeme wa Tanzania ni mdogo sana hautoshelezi. Hilo bwawa likikamilika ndo litatatua tatizo. Hata tukimpa malaika hiyo wizara bado hataimudu kutokana na kiasi cha umeme kutokidhi mahitaji. Lakini pia tayari tangu awamu ya pili kuna mikataba mibaya ya kifisadi ilishasainiwa inayoitafuna TANESCO. Shirika la umeme lina mambo kama ya ile mikopo ya kausha damuKwa mgao wa umeme aliotuachia lazima akose raha
Makamba ni mla rushwa anawajua wala rushwa wenzakeKwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi?
Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini?
Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
Mtoto pendwa wa mafisadi hawezi kuachwaKwa jinsi alivyovurunda wizara ya nishati ni maajabu kuwa bado anateuliwa kuwa waziri.
Ameondoka baada ya kuharibu vibayaWagalatia mna chuki na huyo kijana,alivunja masanamu yenu mnayoyasujudia au?? Kaondoka sasa wizara ya umeme tuone umeme usikatike kkenge nyie