Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maza bado yeye anapanga safu ni teua tengua kutwaKwani ofisi yake..yaani we unakaribishwa kwenye nyumba kusha unafukuza uliowakuta..kwanini usikae nao uangalie gaps.
Naona hata mama yenu alipoingia tu kesho yake kapangua na kuwatoa. Sasa nchi nzima hali tete.. sio umeme, sio tamisemi, sio maji, sio afya, sio elimu.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Cc adrizhuyu alifeli sana huko galanos
Huyo mama wizara ya Nishati hakupaswa kuigusa kabisa angeiacha kama alivyoikuta.Kwani ofisi yake..yaani we unakaribishwa kwenye nyumba kusha unafukuza uliowakuta..kwanini usikae nao uangalie gaps.
Naona hata mama yenu alipoingia tu kesho yake kapangua na kuwatoa. Sasa nchi nzima hali tete.. sio umeme, sio tamisemi, sio maji, sio afya, sio elimu.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Jo hivyo hata wewe umesha kosa kumegewa mkate na Swahiba 😂Sasa hapo MFA atavunja vunja bodi za Kitu gani?
Hata alivyoteuliwa kuwa hapo nishati si kwa sababu alikuwa na vigezo vyenye kumfanya apewe hiyo wizara. Mkuu huu ni utawala sie tukae tu tuangalie watawala wetu jinsi wanavyotawala.Kwa jinsi alivyovurunda wizara ya nishati ni maajabu kuwa bado anateuliwa kuwa waziri.
Kama lilivyofanya lile shetani lenu la Chato.Kwani ofisi yake..yaani we unakaribishwa kwenye nyumba kusha unafukuza uliowakuta..kwanini usikae nao uangalie gaps.
Naona hata mama yenu alipoingia tu kesho yake kapangua na kuwatoa. Sasa nchi nzima hali tete.. sio umeme, sio tamisemi, sio maji, sio afya, sio elimu.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Sasa lawama zinarudi kwake..na haitokuja kutulia tena. Imeshatibuliwa..wamewekwa watu wasio na ujuzi wowote na umeme.Huyo mama wizara ya Nishati hakupaswa kuigusa kabisa angeiacha kama alivyoikuta.
Toka alipomteua makamba ni mwendo wa mgao wa Umeme haujawai kukoma
Sina uhakika japo nampenda na ni pacha wangu napata mashaka nahisi ana kaubaguzi fulani, ebu fuatilia ana muweka mtu wa aina Gani na nasaba zake, yawezekana anapenda wa yes yes, wasiojua kumzidi na mengineyo. Japo kimfumo nadhani anatumia haki ya kikanuniKwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi?
Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini?
Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
Subiri kwanza Mahusiano na nchi za nje yayumbe..Makamba kaondoshwa,kaenda mbali kabisa,kujipanga.Lawama zitaanza kwenda moja kwa moja kwa MAMA,kwani tatizo la umeme halitaisha,na Makamba wa kupewa lawama,hayupo,na aliyewekwa kama mbadala wake,hatasakamwa,badala yake ni mama tu ndiye atakayeandamwa.