Kwanini January Makamba akipewa wizara anafanya mabadiliko ya staff wengi?

Maza bado yeye anapanga safu ni teua tengua kutwa
 
Makamba kaondoshwa,kaenda mbali kabisa,kujipanga.Lawama zitaanza kwenda moja kwa moja kwa MAMA,kwani tatizo la umeme halitaisha,na Makamba wa kupewa lawama,hayupo,na aliyewekwa kama mbadala wake,hatasakamwa,badala yake ni mama tu ndiye atakayeandamwa.
 
Huyo mama wizara ya Nishati hakupaswa kuigusa kabisa angeiacha kama alivyoikuta.

Toka alipomteua makamba ni mwendo wa mgao wa Umeme haujawai kukoma
 
Kama lilivyofanya lile shetani lenu la Chato.
Lilipoingia tu Ikulu likatimua wote aliowakuta kuanzia KMK
 
Huyo mama wizara ya Nishati hakupaswa kuigusa kabisa angeiacha kama alivyoikuta.

Toka alipomteua makamba ni mwendo wa mgao wa Umeme haujawai kukoma
Sasa lawama zinarudi kwake..na haitokuja kutulia tena. Imeshatibuliwa..wamewekwa watu wasio na ujuzi wowote na umeme.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Sina uhakika japo nampenda na ni pacha wangu napata mashaka nahisi ana kaubaguzi fulani, ebu fuatilia ana muweka mtu wa aina Gani na nasaba zake, yawezekana anapenda wa yes yes, wasiojua kumzidi na mengineyo. Japo kimfumo nadhani anatumia haki ya kikanuni
 
Subiri kwanza Mahusiano na nchi za nje yayumbe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…