Kwanini January Makamba anachukiwa kiasi hiki, kipi amewakosea watanzania?

Wewe na makamba ni mbwa koko
 
Wakati mwingine wanasiasa walewale wanachafuana wenyewe, hasa wanapomwona mmojawao njia imemnyookea ileee moja kwa moja hadi ikulu.
 
Jamaa ni kezi sana hako sasa hivi kamebadili DINI kwamba kawe ka katolik ili kagombee 😂
 
Ulisha ona wapi ,watu,jamii wakamwelewa msela,mhuni,mwenye mafanikio ya kustukiza,wakujimwambafai,siyenaushirikiano na jamii yake au mnyanyua makwapa a.k.a mambega?
 
Wanaomchukia ni mangedere tu pamoja na vyura wao wote ni mazuzu
 
Hilo genge feki naamini asilimia kubwa lipo nje ya serikali, pia usisahau ndani ya serikali kuna genge hatari zaidi kuliko hilo, (The kitchen cabinet)
Genge la raia feki ndiyo linaongoza serikali kwa sasa lipo ndani ya serikali na ndani ya siasa (ccm)...ni raia feki walio jiingiza kwenye siasa na serikali lengo lao kuu ni kuvuna pesa na kuifanya serikali kuwa mali yao binafsi na familia zao ...kwa sasa wanafanya mchakato wa kufuta sheria za ulinzi wa ardhi na rasilimali ili waweze kumiliki wao hizo rasilimali.
 
Wakati mwingine wanasiasa walewale wanachafuana wenyewe, hasa wanapomwona mmojawao njia imemnyookea ileee moja kwa moja hadi ikulu.
Ndyomaana nadhani kuna sababu nyuma ya paazia, sio rahisi kusambaza chuki kwa mtu ambaye inaonekana ana nafasi au ushawahi
 
Ulisha ona wapi ,watu,jamii wakamwelewa msela,mhuni,mwenye mafanikio ya kustukiza,wakujimwambafai,siyenaushirikiano na jamii yake au mnyanyua makwapa a.k.a mambega?
Unaweza kuthibitisha usela na uhuni wake upo wapi? Au kitu gani aliwahi kusema au kufanya mpaka unamwita msela?
 
...kwa sasa wanafanya mchakato wa kufuta sheria za ulinzi wa ardhi na rasilimali ili waweze kumiliki wao hizo rasilimali.
Kwa sasa sheria inasema Rais ndiye mdhamini wa ardhi yote, sasa hao wanaotaka kubadilisha hii sheria wanataka kuifanya iweje?
 
Ukisikia jambo fanyia utafiti ndio ulete uzi,watu wakiongea ujue Kuna mambo wameyaona
 
Sio serikalini hata wasio shika serikali ni mafisadi muite mwenyekiti aje akemee ufisadi kama anaweza
Nimeshangaa hawataki TAKUkuru iwajibike wakati huu michakato ya Uchaguzi, baada ya Uchaguzi wanaanza kura zinechakachuliwa!!! Wanachosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…